JF-get together party Disemba 2018

Naomba Party ikiwezekana kuanzia saa kumi ianzie garden watu tupate picha mbili tatu na maua yetu akina Witnessj,madame B,mzigua akina sweetie ikifika saa sita tuhamie ndani sasa ukumbini hito ndio mpaka asubuhi ni mwendo wa mauno tu ndani humo
 
I real apreciate you boss but make sure when you put comment in English language try to minimize if not to remove all the typing error... Good day boss

Najifunza kiingereza
Kiongozi natumia sim mdogo Na mbovu. Ndio maana ninaandika errors. Hapa juzi kati nilipoteza sim niliyokua natumia. That's why Nina muda sijaanzisha madam ya maana yoyote
 
Dogo mbona mnamawazo ya kimaskini ? Nani awatapeli hivyo vinoti vyenu vitatu vyenye pichs ya tembo vilivyolowana jasho na shombo

Km hsmna pesa kaeni kimya au waombeni watu wenye pesa km mimi tuwalipie

Mimi nitatinga hapo na helikopta yangu kutoka Bunju
Hebu ingizeni hizi token za vocha za buku kumikumi mpoze njaa maskini nyie
466 456 456 965
465 7558 5857 66
Wajanja wataingizwa mjini kwenye Uzi huu
Mimi sichangii part yenyewe inaamashariti sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…