Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Unipitie
Watu mko vzr....hongerenii....Inna swalaata kaana alal mu'uminiina kitaaban maukuta.....swadakallah
Sawa boss kubwa nimekuelewa ya party ilipe kwanza halafu kuhusu mavazi na kila kitu kinachonihusu tutayapanga kuleNot only kukulipia! nataka unipe budget ya siku hiyo, kuanzia mavazi, viatu na kila kitu unachoona kinafaa kujumuishwa.... cha msingi ung'ale mama.
Kina nani hao mdogo wangu? πππnnda zangu mie niagie basi [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mwaka huu tutazidiiiiiMkuu venue haijawahi kuwa tatizo bali washiriki. Yani unaweza tafufa ukumbi wa watu 100 wakaja watu 30. Ndo maana tumetafuta huo kutokana na mahudhurio ya watu huko nyuma
Haina noma.Nimekusoma mkuu[emoji3][emoji120]
It's done ma dia..........Sawa boss kubwa nimekuelewa ya party ilipe kwanza halafu kuhusu mavazi na kila kitu kinachonihusu tutayapanga kule
haah kuna jitu limenikwaza ngoja nikuite ulione hukuπππ
Madame B ana inye sio ya kitotoHiyo si yakukosa nataka siku iyo nimuone madam B live
Party imekuibuaaaHii Party vigoli wa Jf wanaenda kupata uzoefu kutoka kwa makungwi wa Jf. πππ
Hahahaaa tunaigilizia kwa jirani banaπππWatu mko vzr....hongerenii....
haah wewe cheka tu tunakutegemea ohooo
It's done ma dia..........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Usitoe ushaur peleka angazaa
Sio kweli zile za kwako zileee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahahaaa tunaigilizia kwa jirani banaπππ
Something strange! but seems you know me.. maana kweli nilipotea.Party imekuibuaaa
Huyu mdau hajui kusoma alama za nyakati unawakumbusha watu kusali kwenye mikakati ya starehe,sawa sawa na kwenda club kuwaambia watu muziki haramu.Watu mko vzr....hongerenii....
Nope nakuonaga hapa hapa majukwaani ..muda sana sijakuonaa!!Something strange! but seems you know me.. maana kweli nilipotea.