JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Watu mko vzr....hongerenii....
Huyu mdau hajui kusoma alama za nyakati unawakumbusha watu kusali kwenye mikakati ya starehe,sawa sawa na kwenda club kuwaambia watu muziki haramu.

Au kuwakataza watu kuvuta bangi wakati wewe unavuta sigara.

Huu ni uhayawani.

Sasa bibie nakutuma umkumbushe kwamba mambo hayaendi hivyo. Awaache na mikakati yenu....!
 
Back
Top Bottom