Yani twende coco kufanya party?Mkuu hauna tofauti na Wale Waganga wanaotutumia namba zao kwenye simu zetu ili tuwatumie hela japo hatuwajui, hakuna mtu atafanya ivo.
Nashauri hiyo Party ifanyike kwenye eneo la wazi mfano Coco. Baada ya hapo watu kama watataka kwenda Ukumbini, watakwenda kwa gharama zao
Nakuzingua tu coz niliona sehemu unazungumzia ukumbi. Mambo ya party kumridhisha kila mtu si rahisi.Hata,
Kwanza baada ya kuona mpangilio wa party na maudhui yake niliona hakuna haja ya ukumbi.
Na nilieleza pia.
Mm naona tujigrupu naww tukodi kapikipiki though sijui kuendesha
Tatizo ni kwamba hawatatoa wote. Party zilizopita idadi ya watu walikua wangapi JF nzima?Sasa jf ina mamilioni ya watu halaf party ni watu hamsini,sijaona logic hapo...kama mlikuwa serious na party yenu mlitakiwa mkusanye michango mjue idadi halaf ndio mtafute venue ya kutosha watu waliolipia.
Otherwise bora mjichague watu 50 mkutane
Kwani umeambiwa ni lazima kuchanga?Wajanja wataingizwa mjini kwenye Uzi huu
Mimi sichangii part yenyewe inaamashariti sana
Kipo kama kanzu dear sema chenyew chepesi.Kijora! nitoe ushamba bas[emoji85][emoji16]
Afu nina tiket yako nimeshika na meno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapa sio mahala pake pa kujibu hili swali nitakujibu kuleManeno gani shunii wangu Mimi...!!!utaenda huendii....hahaaahaa!!!!
Wasiojulikana tutakuepo!!Nakuzingua tu coz niliona sehemu unazungumzia ukumbi. Mambo ya party kumridhisha kila mtu si rahisi.
Haaahaaaahaaa....kwani ukisemwa unababuka ngozi au unakufa? Life's is too shortIla nawaomba wahudhuriaji msije kuja kufungulia nyuzi humu za kudhalilishana.
Baada ya party ndio tutaanza kusikia mengi ya watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio lazima uhudhurie mkuu.
Na wala hujalazimishwa my dear
ItakuwepoHio mizigo ulioweka kwenye picha za mwisho mwisho itakuepo na yenyewe mkuu???[emoji18]
Tatizo ni kwamba hawatatoa wote. Party zilizopita idadi ya watu walikua wangapi JF nzima?
Hahaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nakutania tu dear mbona najua....!!hapa changamsha gengee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapa sio mahala pake pa kujibu hili swali nitakujibu kule
Karibu sana..Ngoja niuze mazao yangu mkuu nitakuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Madame B nitafutie mrembo mteke mteke wa Kinondoni awe Shombeshombe hips ya kutosha na inye gwedegwede chuchu konzi saa 6 aende hewani sekunde naandaa mzigo wa kutosha nije huko DSM kwenye party together.
Mbwa unaweza ukaenda nae tu hamna shida[emoji2] [emoji2]ingekua kwetu hakuna mbwa ningekuja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] GM mbona umekuwa mbogo?[emoji15]Sehem zote ulizotaja bado za kishamba,
Endelea tu na party yako mama,
Asante kwa mwaliko.
Sio wapambe ni pace makers...kwenye marathon tunawachosha baada ya km5 tunawaacha muendeleeHawa wanaitwa wapambe (hawalipi kiingilio)
Soda moja, juice ya box ya embe (azamu)BTW, waandaaji ningeshauri mtoe angalizo kuhusu kupon za vinywaji.
i.e kwenye hiyo 30,000/- nakunywa vinywaji approx bia ngapi kwa rate ipi?
Ili wengine tujue kama tuanze kunywa nje tuje kumalizia au tuje na balance sh ngapi kujazia patakapopungua.