JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Hii sio ya kukosa[emoji1360][emoji1360]lakini kwa mchango wa elf30 mimi naona kama ni ndogo saana
Party inaanza saa 11 jion hadi usiku saaana hapo mtu ashakunywa kret ya bia[emoji3]kujifidia 30 yake[emoji3]
Anyway I’Ii participate on that Party [emoji1360]
Flying frm Mwanza to Dar[emoji1360][emoji1360][emoji177][emoji177]INSHAALLAH
 
mungeweka na idadai ya waliochangia mpaka sasa ili kama nafasi imejaa ili wengine tusiendelee kuchangia maana binafsi ndio nimeuona huu uzi leo ila naunga mkono saana hoja. japo kosa ni watu sabini hali ya kuwa tupo maelfu humu.
 
Watu wamekataa kuwekwa public.
Ila nafasi zimebaki 24 kati ya 50

Karibu sana
 
Back
Top Bottom