JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Watoto wa form 6 wameamua kujiorganize wakutane pamoja washerehekee hongera zenu, ila haya mambo mlitakiwa mkakutane Facebook huko au kwenye magroup yenu ya whasap huku mtuachie watu wazima tujadili mambo ya msingi
 
Then inaonesha mtoa mada anaupeo mdogo sn angefikiria kidogo asingeandika hii takataka hapa, yy anadhani jf member wote wanaishi dar
 
Back
Top Bottom