JF-get together party Disemba 2018

Then inaonesha mtoa mada anaupeo mdogo sn angefikiria kidogo asingeandika hii takataka hapa, yy anadhani jf member wote wanaishi dar
Kwa taarifa yako tu Maxence Melo na uongozi mzima wa Jf unajua kama tunaandaa party.
Kama unaona tunaibia watu, nenda karipoti kwa Maxence Melo, AshaDii au Paw kuwa waandaaji wa Party yaani mimi Madame B na Mzigua90 tunataka kuwaibia watu hivo waufute uzi.

Hahahaha
Kama wewe wa mkoani pole sana.
Ndio...wezi tunaandaa, vp imekuuma?
Nenda kashitaki
 
Yetate naneeeee!


Acha kutunyanyapaa sisi wamikoani...[emoji4] [emoji23] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Yetate naneeeee!


Acha kutunyanyapaa sisi wamikoani...[emoji4] [emoji23] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…