JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utapambana na hali yako mm nitakuja na bodaboda wangu kukuchukua na kukurudisha kwako
[emoji23] [emoji23] ntakaa nyuma km mwana mkiwa

We jishaue tuu!!hapa!boda boda sijui unichukue!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We kweli unanitafuta,
Nilimweleza kabisa mzigua, kwa jinsi nilivo ona mauthui ya party, hakuna haja ya kuchukua ukumbi.

Nikamwambia kama ni ishu simple tu, mnaweza kwenda hata pale bucket au nextdoor mkaufunga ukumbu kabisa.

Hapo ni party ya kishkaji tu
Ulianza kwa kutoa ushauri au ulianza kupaka?
Wewe si umeleta ujuaji?
Kwani ungeanza kuongea na kutoa maoni usingesikilizwa?
Unajikuta Mungu mtu...kukosea.
Mimi nina mwaka wa 3 katika uandaaji wa party za Jf...nazijua nje-ndani.
Wewe humu hujawahi hata andaa party za sisimizi.
Hebu tusikaushane uzazi
 
[emoji23] [emoji23] ntakaa nyuma km mwana mkiwa

We jishaue tuu!!hapa!boda boda sijui unichukue!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hauwezi kuwa mwanamkiwa mumu yupo ujue yaani mm nakuja kuwachukua tu mkishamaliza sasa kwenye bodaboda tutatosha vipi basi nitakuja bajaji
 
Leta tu bajaj ntakaa na mumu basi halafu ujue uswazi nahama November nahamia Chanikaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom