Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Sawa mchumbaLearn to ignore negative comments, siyo lazima kila mmoja umjibu.
Baadhi yetu tuko kwa ajili ya kukutoa kwenye line.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mchumbaLearn to ignore negative comments, siyo lazima kila mmoja umjibu.
Baadhi yetu tuko kwa ajili ya kukutoa kwenye line.
[emoji23] [emoji23] ntakaa nyuma km mwana mkiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utapambana na hali yako mm nitakuja na bodaboda wangu kukuchukua na kukurudisha kwako
[emoji122] [emoji122]Kwa heshima yako, naomba nijiweke pembeni kwenye huu uzi.
Very sorry!!
Enjoy the party
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hongera kwa hilooNa soda BONGE zile sipati picha ila wanawake wenye VITAMBI ndiyo UGONJWA WANGU MKUBWA
Bora mfupi kuliko miyeee!!Je mimi....kifupi kama mavi ya asubuhi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Ulianza kwa kutoa ushauri au ulianza kupaka?We kweli unanitafuta,
Nilimweleza kabisa mzigua, kwa jinsi nilivo ona mauthui ya party, hakuna haja ya kuchukua ukumbi.
Nikamwambia kama ni ishu simple tu, mnaweza kwenda hata pale bucket au nextdoor mkaufunga ukumbu kabisa.
Hapo ni party ya kishkaji tu
Nitakupakata mremboHahahaha na huu mzigo wangu hicho ki phonex si nitakivunja
Chora tu kwani tabu ipooo??Unadhani nachukulia serious basi alafu sio wewe kuna mwingine nawaona wamegandana kumbe mmoja wao namjua namchora tu
[emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama unataka ku party fata maelekezo nenda kaparty.
Kama hutaki ku party au huna hela kaa kimya acha wenzio wale maisha.
Hayo ndio maoni yangu msiniulize kama nimeulizwa maoni yangu ni yapi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hauwezi kuwa mwanamkiwa mumu yupo ujue yaani mm nakuja kuwachukua tu mkishamaliza sasa kwenye bodaboda tutatosha vipi basi nitakuja bajaji[emoji23] [emoji23] ntakaa nyuma km mwana mkiwa
We jishaue tuu!!hapa!boda boda sijui unichukue!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo ID ibadilike jamani
Sawa tumeelewaMadame acheni kuchafua hii plan, keep it in mind kwamba kwa kila jambo wapingaji wapo, usipoteneze energy ambayo ungeitumia kuweka mikakati kwa kuwajibu negative minded people.
Focus on the main issue please.
Mzigua90 take note of this.
Hamtavua kuna VIP tutawafungia huko mkianza kufanya vitukoUnaona sasa.... Msitufanye hiyo siku tunywe pombe tuanze kuvua nguo
Bidada upo? KitamboChora tu kwani tabu ipooo??
Leta tu bajaj ntakaa na mumu basi halafu ujue uswazi nahama November nahamia Chanikaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hauwezi kuwa mwanamkiwa mumu yupo ujue yaani mm nakuja kuwachukua tu mkishamaliza sasa kwenye bodaboda tutatosha vipi basi nitakuja bajaji
Msijejiselfie nazo tu baadaeShabaash...baadhi ya hizi picha sie wakina alwatan kipozeo zinatupa munkari.
Huna akili wewe ujueNjoo ID ibadilike jamani
Nipoo bi dada nawaonaa tu mnavyopanga harakati za kukutana watu wa darBidada upo? Kitambo
Ile lounge ya kule baharini. Hapajakaa mkao kwa party za kijanja au near to executive partiesYani hata wakati Niko mwanachuo hatujawahi kufanya party coco labda zile za bday tena tulikua tunafanyia kule lounge kwa Side. Siku labda tupange tukale mihogo na vimishkaki vile