Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
NitamwambiaMwambie Wit anakupa hi...he knows me well!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NitamwambiaMwambie Wit anakupa hi...he knows me well!
Pouwa mamiiNitamwambia
Don [emoji23][emoji23]
Si bora nzi unaweza kuta nyuki wakahamishia mzinga wao kwenye meza zao ikawa hatari zaidiWanywa soda mtengewe eneo lenu muhangaike na nzi vizurii
Swali zuri sana. Mana mi nakaa MISUGUSUGUUsafiri vipi kwa tunaokaa Chanika
Tena kaa nao mbali wanywa soda[emoji57][emoji57]Umeona Mama Sabrina, huyu mtoto ananiambia soda kwenye Sherehe ya watu wazima
Ahahahahahha hatari kabisaSi bora nzi unaweza kuta nyuki wakahamishia mzinga wao kwenye meza zao ikawa hatari zaidi
Jipake kabisa yale mafuta ya kufukuza mbu ukifika kwa party uwe kamili gado
Ile harufu mweeh!...kiboko ya mbu upepoJipake kabisa yale mafuta ya kufukuza mbu ukifika kwa party uwe kamili gado
(Joke)
Mbu hana athari kwenye sodaa miye!!!ntakunywa tu sodaa
Hivi kuna muda wa kucheza mziki si utakuwepo huo muda eeeee?Ile harufu mweeh!...kiboko ya mbu upepo
Nasuggest tukae garden sio ndani
Kwani lile somo la Heineken ulifeli [emoji23][emoji23]We nabeba vzr soda sitaweza kunywa nne kwa wakati mmoko lazima nibebe!!!!
Hyo masti hyoo!!!
Mziki lazima wee...siku hiyo nataka kiuno kikatikie kinondoni kwa kuyarudi mangoma![emoji23] [emoji23]Hivi kuna muda wa kucheza mziki si utakuwepo huo muda eeeee?