Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kung'atwaMbu hana athari kwenye sodaa miye!!!ntakunywa tu sodaa
Karibu sanaIdea nzuri sana.Natumaini nitashiriki.
Hamruhusiwi[emoji21] [emoji21] [emoji21]Mikoani tunaruhusiwa kujumuika?
Ngoja nianze kujifunza step mbali mbali za kucheza maana sitaki unishinde kukata mauno nna mpango kukubambia siku hiyo hadi Mzigua aone wivuMziki lazima wee...siku hiyo nataka kiuno kikatikie kinondoni kwa kuyarudi mangoma![emoji23] [emoji23]
Tena kaa nao mbali wanywa soda[emoji57][emoji57]
Hilo eneo haina mbu na wakitokea wakawepo siku hiyo tutatumia dawa.
Wanywe maji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wahurumie jamani wapeni thoda nyingiiicute b kasikia, nasikia wasiokunywa ndo wanaongoza kuja kututangaza humu vituko vyetu.
Mara utasikia fulani alilewa akajitapikia, fulani alizima, fulani ilikuwa hivi.
Komesha ni kutoweka soda wala juice, iwe pombe na maji tu.
Karibuni mkuuMikoani tunaruhusiwa kujumuika?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nianze kujifunza step mbali mbali za kucheza maana sitaki unishinde kukata mauno nna mpango kukubambia siku hiyo hadi Mzigua aone wivu
Wee uje na baby wako hakuna wa kubambiwa kwenye maparty eboo!Ngoja nianze kujifunza step mbali mbali za kucheza maana sitaki unishinde kukata mauno nna mpango kukubambia siku hiyo hadi Mzigua aone wivu
Kutakuwa na security camera every where.. tukikukamata na huo wizi itakubidi uondoke na Gudume hadi gheto kwakeWe nabeba vzr soda sitaweza kunywa nne kwa wakati mmoko lazima nibebe!!!!
Hyo masti hyoo!!!
Haahaaa mama umepania! Si kwa mashuti haya[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Hilo eneo haina mbu na wakitokea wakawepo siku hiyo tutatumia dawa.
Nashangaa sweetheart hela zote nilizonazo afu nisikulipieBabe[emoji10]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wee uje na baby wako hakuna wa kubambiwa kwenye maparty eboo!
Mwanaume mwenzako agharamie we ubambie? Tafuta wako
[emoji126] [emoji126] [emoji126][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wanywe maji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wahurumie jamani wapeni thoda nyingiii
Wewe tena kipenzi changu Sultan wangu lazima unilipie[emoji7][emoji7][emoji7]Nashangaa sweetheart hela zote nilizonazo afu nisikulipie
Waambieni waandaji wafanye yote lakin kusikosekana Nyagi,Glandz au Value[emoji126] [emoji126] [emoji126]