Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Yepi tenaa!?Bro endelea tu,yamenikuta makubwa !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yepi tenaa!?Bro endelea tu,yamenikuta makubwa !
Umesahau alichokwambia bibie ? Unaamsha machungu bro !Yepi tenaa!?
Bado unaishi kwenu tu na umri huo ulionao!! Utachelewa kukomaa akili na kupata mume hebu hama ukajitegemee.ingekua kwetu hakuna mbwa ningekuja
Hahaaa!!!umeona eehh!naona ananizogoa tu miye sina hata mda nae!Nakajua ni Mkurya au Mmasai yule maana kwao bhita ni bhita tu, sime na visu nje nje na hapo kama wamekos binduki😀😀😀
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Idadi mmekadiria kidogo mbona??
Mi sitaweza nadhani lakini kila la heri mpaka December muwe wazima wa afya
Kuna hatari ya watoto kuzingua siku hiyo manake humu wengi ustaarabu hawaujui
Baba Debo nini mbaya na wewe lakini?Nyie makahaba lazima mishipa ya shingo iwasimame kushawishi wanaume kuja kwenye ushankupe.
Mwanamke mwenye mwanaume anaejielewa hawezi hata kufirkiria mara moja habari za viparty uchwara kama hivi.
Tafuteni wanaume kwa nguvu, mtawapata inshallah.
Ha haaa unajua una matatizo sana we msukuma?Muree,
That goes without saying!
Ila unaonaje tukimpitia na yule mke mwenza uliyempikiaga chai?
Naamini tutapendeza sana siku hiyo.
Kushoto Muree..:..kulia naniliu....halafu katikati baba K!
Nime mmind ile ile,amenizodoa balaa,daah yaani nimefedheheka ajabu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kujumuika na marafiki na ku socialize ni vizuri sometimes. Mara moja kwa miaka miwili au mitatu inaleta msisimko si habaHahaaa!!!umeona eehh!naona ananizogoa tu miye sina hata mda nae!
Sana tuuu!!!kumbukumbu zisizoishaaKujumuika na marafiki na ku socialize ni vizuri sometimes. Mara moja kwa miaka miwili au mitatu inaleta msisimko si haba
Take it easy buddyNime mmind ile ile,amenizodoa balaa,daah yaani nimefedheheka ajabu.
Ha haaa unajua una matatizo sana we msukuma?
Iwe room no ile ile itanoga zaidi teh...Naamini siku hiyo tutatokelezea kinoma.
Halafu tukitoka hapo tunaenda zetu Ramada kupiga tatu bomba usiku kucha!
JF imekua kama family sasa. Ilipofungiwa ilikua ni taharuki nchi nzima! Naamini humu kunawatu wamejuana wakapeana deals za biashara, kazi, masomo na wengine wamekua na serious relationships wakaanzisha familia na hata kuonaSana tuuu!!!kumbukumbu zisizoishaa
Haina noma bro ! Hilo limeisha.Take it easy buddy
Iwe room no ile ile itanoga zaidi teh...
We ni nyau