FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Daaah nimekumbuka mbali sana, hope umekumbuka pia[emoji3]Anasifia sana imebidi nimshtue shemeji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah nimekumbuka mbali sana, hope umekumbuka pia[emoji3]Anasifia sana imebidi nimshtue shemeji
hamna kwendaumenielewaje??
yamekua haya lakini si kwa ubayamhhh nini?? me nakuangalia tu
hahahaa nimekomakunjua tu moyo tu mama
hajamanisha kwa ubayame namuona tu tangu jana na huu usifiaji si wa kawaida messages zaidi ya tano mtu anasifia tu 😀😀
Hivi kuna kusifia kwa ubaya ?hajamanisha kwa ubaya
#Firdowsa[emoji120]nawasifu sana kwa kweli kama stara ndio kupata pepo wale jannat firdaus ni yao
Tujumuike pamoja jamani, itapendeza sana.hamna kwenda
Hahahaahaha. NimekumbukaDaaah nimekumbuka mbali sana, hope umekumbuka pia[emoji3]
Hahhaha December na ifikege tu[emoji23]Hahahaahaha. Nimekumbuka
Swimming pool....mkuu
Bwalo=Hall=UkumbiWazungu hao kiswahili hawajui ngoja nikae kimya
Bwalo ndo nini?
tunawaza pamoja sana!....Nasubiri ya 35+ wangu!![emoji16][emoji16]
hili nalo nilijibu??Hivi kuna kusifia kwa ubaya ?
me ndio nishanyimwa kuja hivo mtatuwakilishaTujumuike pamoja jamani, itapendeza sana.
Hapa unatakiwa kutilia mkazo tu sio kujibu.hili nalo nilijibu??
Asante kumbe ata mimi holaBwalo=Hall=Ukumbi
Pool=Bwawa
Sio bwalo la kuogelea ni bwawa la kuogelea.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kumbe ni mkeo mkuu, basi sirudii tena, bahari mbaya kusifia kizuri ni desturi yangume namuona tu tangu jana na huu usifiaji si wa kawaida messages zaidi ya tano mtu anasifia tu 😀😀
[emoji848][emoji848][emoji42]me ndio nishanyimwa kuja hivo mtatuwakilisha
Niliwahi bamba nyama hadi tulibebaWanatubagua tusiokunywa pombe Hahahaha
Ni kweli kabisa mkuuBwalo=Hall=Ukumbi
Pool=Bwawa
Sio bwalo la kuogelea ni bwawa la kuogelea.