sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Naaam shem@sumbai
Nipe taarifa kwa ufupi japo kwa muhtasari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naaam shem@sumbai
Haukuona Pete kidoleni? Labda kama sikucheza kwaito kwenye hiyo ndoa mpaka miguu ikaota magaga.your beauty captures me, jamiiforum sikuwahi kudhani wala KUHISI ina watoto wadogo namna yako.
Siku yanguni njema leo.
Kuna mtu anamendea mendea hapa.anaona vimeng'aa anadhani vimeng'aa vyenyewe.Naaam shem
Nipe taarifa kwa ufupi japo kwa muhtasari
Sasa tutakuwa wawili.Ukimuona jimama lina tumbo kubwa kuliko wahudhuriaji wote ujue ndo mimi
Who typed these...Ukumbi unaingia watu 70, sisi mashangingi tuu kwenye huu Uzi tupo zaidi ya 40 ( fote). Nasisi mashangingi tuna vidumu humu na mipango ya kando.
Lazima watakuja kutusuport.
Punguzeni mapooooooooovuuu...
Kuna watu wanatamani hao ndiyo wangekuwa wameiandaa hii part ila ndiyo mshafelii wezi wa rambirambi nyieeeee.
Kunya anye kuku akinya bata kahara.
Sasa ngoja tarehe zikaribie na December ilivyo na shamra shamra msipojazana pm kuomba nafasi.
Ndiyo maana hamjawahi kufanya party hata ya birthday zenu ndiyo maana wivu unawasumbua.
General Mangi usiniangushe baba.
Sitaki kuamini na hii nimeikosa. Sijui nimezaliwa siku gani mimi.Nimelipia JF party ila nimegundua tarehe hio nitakuwa vacation London kwahio anaehitaji naweza kumpa hio nafasi ahudhurie badala yangu.
Ngoja nimalizie usingizi.Who typed these...
Namuangalia tuu. Sema ni kelele za chura hazina effect.Kuna mtu anamendea mendea hapa.anaona vimeng'aa anadhani vimeng'aa vyenyewe.
Za longtime kaka shemeji
Waache wabweke nje nyie mpo ndani [emoji12] [emoji12] [emoji12]. Nipo vile vile kaka shemeji.Namuangalia tuu. Sema ni kelele za chura hazina effect.
See you decemba. Kitambi kimetoka wapi?? Last time hukuwa hivyo
Kwa umbea tuuKuna mtu anamendea mendea hapa.anaona vimeng'aa anadhani vimeng'aa vyenyewe.
Za longtime kaka shemeji
Hahahaha akija kukujibu mimi sipo.Haukuona Pete kidoleni? Labda kama sikucheza kwaito kwenye hiyo ndoa mpaka miguu ikaota magaga.
Acha kumendea mali ya kaka shemeji wewe.
Kuwa mpole kwanzaKwa umbea tuu
Mida hii giza likiingia nakuwa malaika wa giza.Kwa umbea tuu
Hayaa yangu majichoKuwa mpole kwanza
Kikubwa yeye aache kumendea wake za watu. Mbona mimi nipo single hanioni?Hahahaha akija kukujibu mimi sipo.
Matron hahaha najuta kukualika kwenye ile ndoa.
Unalinda utadhani ndiyo wewe umeoa[emoji13]
Twende chemba kaka shemeji.Kuwa mpole kwanza