JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Ukumbi unaingia watu 70, sisi mashangingi tuu kwenye huu Uzi tupo zaidi ya 40 ( fote). Nasisi mashangingi tuna vidumu humu na mipango ya kando.
Lazima watakuja kutusuport.
Punguzeni mapooooooooovuuu...
Kuna watu wanatamani hao ndiyo wangekuwa wameiandaa hii part ila ndiyo mshafelii wezi wa rambirambi nyieeeee.
Kunya anye kuku akinya bata kahara.
Sasa ngoja tarehe zikaribie na December ilivyo na shamra shamra msipojazana pm kuomba nafasi.
Ndiyo maana hamjawahi kufanya party hata ya birthday zenu ndiyo maana wivu unawasumbua.
General Mangi usiniangushe baba.
 
Who typed these...
 
Back
Top Bottom