sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,540
- 9,473
wewe my akanana wa Passion Lady..................usitake niropoke! Unanitaka ndo maana siishi mdomoni kwako eti babe sosoliso ananidanganya!!! ili nimwache unidake? akuuuuuuu!!!
Kuna wakati beib wangu natamani na roho nayo ingekuwa kwako.. sio mwili pekee yake ili ujue ulivyo na thamani kwangu..
cc Ruttashobolwa..
Last edited by a moderator: