JF Get Together Party sasa kufanyika Jumamosi Tarehe 25 Januari 2014…!!!!!

Wallah mi ntatinga msuli wangu wakati na aangalia burdan toka kwako. Mashallah...
 
Last edited by a moderator:

Naomba kuwataja wafuatao ambao walihudhuria waje kutoa maoni yao kuhusu mapungufu ili tujipange vyema: KakaKiiza, gfsonwin, Madame B, Paloma, cacico, Asprin, Rutashobolwa, amu, Marejsho, charminglady, Jiwe Linaloishi, Vin Diesel, figganigga, Amavubi, manoa, Jeska, Zion Daughter, Mulama, viviana, watu8, Tonykp, Remmy, Mamndenyi, lara 1, Kipaji Halisi, Boflo, Lusile, akenajo, Zinduna, Bujibuji, mwaJ, Bishanga, Thando, Elizabeth Dominic
 
Last edited by a moderator:
Wallah mi ntatinga msuli wangu wakati na aangalia burdan toka kwako. Mashallah...

Asprin unadhani Msewe ni sawa na Ngoma yenu ya Kivivu ya KICHAGA ambayo aina hata KUJISHETUA wala kuchezesha maungo ya mwili, mnanesa kama mlingoti wa Bendera ya Sultani Barghashi.......

Hebu oneni hii Lazy Dance froma Chaga Land
 
Last edited by a moderator:
Asprin unadhani Msewe ni sawa na Ngoma yenu ya Kivivu ya KICHAGA ambayo aina hata KUJISHETUA wala kuchezesha maungo ya mwili, mnanesa kama mlingoti wa Bendera ya Sultani Barghashi.......

Hebu oneni hii Lazy Dance froma Chaga Land

Allah akbar, mi penda sana hiyo makitu. Inshallah tuombe uzima. Labda itokee tu.

Baada ya kucheza niahidi utakuja keti pembeni yangu nipate raha ya harufu ya jasho lako. Mi penda sana wallah.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…