Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
mke mwenza kesho naja kwako, niandalie mapochopocho tu
Wewe tenaa...lazima nikuandalie maunono ya nguvu! Karibu saaaaaana mke mwenza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mke mwenza kesho naja kwako, niandalie mapochopocho tu
Wewe tenaa...lazima nikuandalie maunono ya nguvu! Karibu saaaaaana mke mwenza
santeeee...... See you kesho wangu
Naunga mkono hoja..
Naomba nipewe nafasi ya kuja na kikundi changu cha MSEWE kutumbuiza siku ya Ghafla hiyo, huo ndio utakuwa mchango wangu.
Copy to- charminglady, Zion Daughter, Elizabeth Dominic, Avemaria, Asnam, Smile, snowhite, Lady doctor, Nivea, Lisa, miss wa kinyaru, lara 1, sister, King'asti, cacico, Asprin, Mwita Maranya, watu8, Ruttashobolwa, Teamo, TANMO, mdida, Blaki Womani, Arushaone, Mzee wa Rula, Filipo, PakaJimmy, Bishanga, LiverpoolFC, KOKUTONA, Arabela, Husninyo, MwanajamiiOne
Wakati tunaendelea, napendekeza kwa wale wadau walioshiriki ile Party ya awali wangetoa mapendekezo hasa nini yalikuwa mapungufu na kipi kiliboa ili tunapoendelea na maanadlizi haya tuweze kuyaweka katika mazingatio tangia mapema na watu wabadili matarajio yao.
Wadau wengi wa JF hatupendi fedhea so nadhani hichi ni kitu tukiepuke mapema toka kwenye hatua ya wazo kuelekea utekelezaji.
Wallah mi ntatinga msuli wangu wakati na aangalia burdan toka kwako. Mashallah...
Wallah mi ntatinga msuli wangu wakati na aangalia burdan toka kwako. Mashallah...
Wallah mi ntatinga msuli wangu wakati na aangalia burdan toka kwako. Mashallah...
Tuliza hicho kitumbo mwenza!
Tuliza hicho kitumbo mwenza!
]![]()
Huna lolote we Mzee, najua unataka tu kuchungulia chuchu na makalio ya warembo wa Kizenji.......
Asprin unadhani Msewe ni sawa na Ngoma yenu ya Kivivu ya KICHAGA ambayo aina hata KUJISHETUA wala kuchezesha maungo ya mwili, mnanesa kama mlingoti wa Bendera ya Sultani Barghashi.......
Hebu oneni hii Lazy Dance froma Chaga Land
![]()
Huna lolote we Mzee, najua unataka tu kuchungulia chuchu na makalio ya warembo wa Kizenji.......
mnaenda kubokoana huko yaani JF kuna member kibao why 40 tu,then mnajuana nyie sio bure