Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Hahahaaa... Teh teh teh, kwi kwi kwi!!
Unadhan nacheka mazuri, ole wako unifanyie yaleee ya White Party!! Nitakuu-ufoo saro ohooooo.......
C.C. Paloma
Sitaki hayo yatokee ndio maana nimejipa uenyekiti,ukatibu na ujumbe wa kamati ya mapokezi yako...so far vikundi vya kwaya,na ngoma vimeshaingia kambini.Bado kikundi cha ngonjera...
Mamaaaaa... Mbavu zangu mie!!! Haiya....
Duh! Mbona tarehe haijakaaa sawa?
huyo mkuu wa soda na juice anataka gharama za beer 4, yani 3000x4 zipungue kwenye mchango wake, hivyo azilipie soda lbd soda 4 4x1000, hujamuelewa kumbe. soma mchangnuo wa mchango.mkuu kuna juice na soda tutakunywa worry out
Nina imani tutafungua ukurasa mpya kwenye maisha yetu.....
PENDAPENDA.COM
Kama ilivyo kawaida yako.
msg delivered!Mamndenyi, kama ilivyokuwa mwaka jana utambulisho hautokuwa wa lazima unaweza kuja kama mwana JF tu bila kuweka utambulisho wako.
CC: mwaJ, Fixed Point, King'asti
me naona tusivuke nje ya mwenge,mlimani city au sinza.
Mkuu naomba usiharibu jitihada zangu za kujenga mahusiano yaliyovurugika...hebu toa ushirikiano chanya tasavali...
Namtuma kipajihalisi aje na jibu!kwani hayo nimaeneo yake ila nitarudi baadae nione kama nitakuwa nimepata machanganuo!Mkuu toa ufafanuzi wa hapo mahali, location, price, menu etc maana sio watu wote wanapajua huko .......
ah... hapo poa!mkuu kuna juice na soda tutakunywa worry out
hata wa mimi kisarawe naweza sogea kimtindo...hii naona wa mbagala haituhusu si msogee hata quality centre...........savannah pale kuna private/vip lounge........