JF Hard Talk "Da'Vinc"

Kijana ongera Sana una uwezo mkubwa.
Je uwezo na maarifa ulio nayo yanakusaidiaje kwenye Maisha yako ya sasa? Vitabu unavyo soma na vitu unavyo fanya kila siku vya kukufanya ufikilie vina impact gani kwenye Maisha yako ya sasa?
-Nime kuuliza ivo kwa sababu nami ni kijana wa lika lako miaka yangu si zaid ya 21 kuna wakati nilipenda sana mambo ya computer especially coding nalifanya sana tena kwa uwezo mkubwa tu(c++ lugha yangu pendwa) baadae niliviweka pembeni hayo mambo kwa kuwa sikuona faida yake kwenye maisha yangu ya baadae japo nilifanya kwa uwezo mkubwa..
Je wewe vitu vinavyo chukua sehem kubwa ya muda wako kwa sasa ndio future yako hapo baadae?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Dada..
Ningependa kurudi nyuma Ili nikafute makosa fulani niliyoyafanya ambayo leo hii yananighalimu maisha yangu..
Ningependa niende future ili nikamilishe ndoto zangu zangu kadhaa wazazi wakiwa bado wapo.
Sijui kama nimejibu?

Umenijibu nashukuru...ila ningependa kujua moja kati ya hizo mbili....ipi ni muhimu huwezi kuchagua zote.
 
Umenijibu nashukuru...ila ningependa kujua moja kati ya hizo mbili....ipi ni muhimu huwezi kuchagua zote.
mkuu ningependa kurudi nyuma lakini tunashauriwa kutokuangalia wapi tulijikwaa bali tuangakie pale tulipodondokea..Tusonge mbele hakuna kurudi nyuma kwa mantiki hiyo ningependa kwenda mbele (To go to the Future
 
Inasemekana una iq nzuri (sina uhakika sababu iq haipimwi kwa uwezo wa kukariri) je ni nini kinacho verify ukubwa wa akili yako ama ni maneno ya watu?
Naweka kura yangu kwenye hili!!... Da'Vinci ni moja ya memba wanaotumia sana akili zao vizuri katika mijadala yao!.. Huyu jamaa hajui kasirika that is unique!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…