JF Hard Talk "FaizaFoxy"

JF Hard Talk "FaizaFoxy"

Hii sio kweli ma mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
"Argument" yako bila ushahidi inakuwa dhaifu.

Soma:

A Pakistani bride signing a marriage certificate
In Islam, marriage is a legal contract between a man and a woman. Both the groom and the bride are to consent to the marriage of their own free wills. A formal, binding contract - verbal or on paper[1] - is considered integral to a religiously valid Islamic marriage, and outlines the rights and responsibilities of the groom and bride. There must be two Muslim witnesses of the marriage contract. Divorce in Islam can take a variety of forms, some executed by a husband personally and some executed by a religious court on behalf of a plaintiff wife who is successful in her legal divorce petition for valid cause.

Source: Marriage in Islam - Wikipedia
 
Huko juu nimeona sehem inazungumziwa jihad! Na umejibu 'vizuri' kuwa kwa mmoja ni 'ugaid' na mwingine ni 'kuupigania' uhuru

Ikiwa jihad ina taratibu zake na ili iitwe 'jihad' ni lazma taratibu hizo zifuatwe.,

1.Napenda unijuze, uislam umeamrisha kuwa ktk jihad haipaswi kumuua muislam mwenzetu ikiwa hatudhuru, na pia hatupashwi kuharibu uoto i.e miti. Je, 'jihad' hii inayoendelea inazingatia hayo?

2. Ni yupi Amir wa 'jihad' hii inayoendelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba pitia post namba 56 nimejibu jihad ni nini.
 
Mambo ya nchi za watu maybe i am brainwashed media maybe kuna wakristo wanajilipua na kuua mamia ya watu wasio na hatia ila media zinaniaminisha kua ni waislamu boko haraka waliteka wasichana 300 na kuwaua wengine kuwasilimisha maybe ni wakrsito pia just media zinani brain wash achana na ya juzi kenya
Acha niongelee mambo ya hapa nchini ishu ya mbagala ubishani wa watoto wawili wadogo kuhusu msahafu kumgeuza mtu chura ukiukojolea baada ya yule mtoto kuukojolea watu wazima wakaamka na hasira kali kuanza kuchoma makanisa sidhan kama biblia ingekojolewa tungeinuka kuchoma misikiti kwa sababu sisi tunahubiri amani
Hilo pia hao watoto sikuwaona kwa macho labda media ziliwapaka paka
Niloliona kwa macho kibiti high school waislamu walichoma moto shule baada ya vijana wachache kwenda kutumia vyombo vyao vya kulia chakula kuwekea nyama wanadai ya nguruwe na ushahidi kukosekana wa kuwafukuza hao vijana shule
Waislamu wakaamua kuchoma moto shule?
Je ni sahihi kwa kosa la vijana wachache ambao ushahidi wake si rahisi kupatikana kuamua kuchoma shule??

Sent from my iPhone using JamiiForums
UISLAM = UJINGA = UGAIDI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningependa kujua maoni/mtazamo wako,unafikiri kwa wakati huu tulionao(baada tu ya mh rais Magufuli kumaliza muda wake,iwe 2020 ama 2025)unafikiri ni rais wa namna gani au wa sifa zipi atafaa kuiongoza Tanzania?
 
Rais yeyote ataweza kuongoza vizuri sana ikiwa sheria za nchi zitakuwa juu ya watu wote pamoja na Rais.

Watunga sheria wajitahidi kwenye kutunga sheria ziwe za kusimamia na kuwezesha zaidi na siyo za kudhibiti. Bila hivyo kila rais atapwaya hata awe mzuri kama lulu.
 
Kwa mujibu WA dini yako mwanaume anaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja. Je endapo mumeo akikwambia anataka kuoa mke mwingine, uta mruhusu??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiislam mwanamme hapaswi kuchukua ruksa ya mkewe akitaka kuongeza mke.

Pia naomba uelewe kuwa ni Uislam pekee (kwenye Qur'an) wenye mafundisho ya kuoa "...mmoja tu". Kauli hiyo ya Allah hautaipata kwenye kitabu kingine chochote cha dini.

Ushahidi:
Qur'an 4:
4_3.gif

3. Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana. 3
 
Mambo ya nchi za watu maybe i am brainwashed media maybe kuna wakristo wanajilipua na kuua mamia ya watu wasio na hatia ila media zinaniaminisha kua ni waislamu boko haraka waliteka wasichana 300 na kuwaua wengine kuwasilimisha maybe ni wakrsito pia just media zinani brain wash achana na ya juzi kenya
Acha niongelee mambo ya hapa nchini ishu ya mbagala ubishani wa watoto wawili wadogo kuhusu msahafu kumgeuza mtu chura ukiukojolea baada ya yule mtoto kuukojolea watu wazima wakaamka na hasira kali kuanza kuchoma makanisa sidhan kama biblia ingekojolewa tungeinuka kuchoma misikiti kwa sababu sisi tunahubiri amani
Hilo pia hao watoto sikuwaona kwa macho labda media ziliwapaka paka
Niloliona kwa macho kibiti high school waislamu walichoma moto shule baada ya vijana wachache kwenda kutumia vyombo vyao vya kulia chakula kuwekea nyama wanadai ya nguruwe na ushahidi kukosekana wa kuwafukuza hao vijana shule
Waislamu wakaamua kuchoma moto shule?
Je ni sahihi kwa kosa la vijana wachache ambao ushahidi wake si rahisi kupatikana kuamua kuchoma shule??

Sent from my iPhone using JamiiForums
Panapofuka moshi panaficha moto.

Yapaswa uelewe kuwa binaadam hakurupuki. Huvumilia mengi sana mpaka siku ya siku jambo moja tu, liwe dogo au kubwa lina fyatua (trigger) yale yote aliyoyastahamilia kwa muda mrefu.
 
Soma post namba 104 fata na link niliyoiweka kwa ushahidi.
Soma post namba 104 fata na link niliyoiweka kwa ushahidi.
Link haina ushahidi zaidi tu ya BAKWATA kumtaka Waziri awajibike kwa kuwa 70% ya watoto wa kiislamu walifail somo la dini.

Post #104: Hivi Waziri aliwahi kukiri kweli eti kulikuwa na system glitch iliyobagua tu waislamu na kuwakata marks? Tuwe na akiba ya maneno
 
Kipindi cha joto Canada si sana sana wiki ya mwisho ya July tu ?

Sasa unaenda kukaa wiki moja halafu unarudi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiji ninaloishi huko (Calgary) lina miezi saba ya hali ya hewa nzuri isiyo na baridi kali sana, mitatu kati ya hiyo ni joto (summer time) ingawa siyo kali sana kama la Dar. Pia kuna wakati hata wa baridi huja upepo wa joto (Chinook) ambao huleta ahueni fulani. Miezi ya baridi sana ni November mpaka March.
 
Back
Top Bottom