JF Hard Talk "FaizaFoxy"

JF Hard Talk "FaizaFoxy"

Link haina ushahidi zaidi tu ya BAKWATA kumtaka Waziri awajibike kwa kuwa 70% ya watoto wa kiislamu walifail somo la dini.

Post #104: Hivi Waziri aliwahi kukiri kweli eti kulikuwa na system glitch iliyobagua tu waislamu na kuwakata marks? Tuwe na akiba ya maneno

Nanukuu hapa post namba tano ya uzi huo "...tatizo lamsingi ni kufelishwa kwa makusudi kwa wanafunzi wa kiislamu katika somo husika wakati nakala za mitihani yao zinaonesha wamefaulu, alifafanua mufti simba".

Ukiusoma huo uzi bila kuwa biased na kukiri kwake Ndalichako kwenye mkutano na waandishi wa habari kuwa "kweli kulikuwa na tatizo la" kompyuta ni ushahidi tosha kuwa Waislam tunahujumiwa.

Mufti wa bakwata hawezi kukurupuka na shutuma nzito kama hiyo bila kuwa na ushahidi.

Ukipenda kubali kuwa tatizo lipo au hukupenda basi endelea kuficha maradhi. Mficha maradhi kifo humuumbua.
 
Kwa ufupi, chukulia kuwa nilikuwepo kabla ya awamu ya kwanza. Alhamdulillah nimeziishi awamu zote tano baada ya Uhuru na Malkia wa Kiingereza alishakuwa Malkia wangu na nnamuheshimu.

Kumbe ndio maana una busara kumbe wewe ni rika langu!!!
 
Rais yeyote ataweza kuongoza vizuri sana ikiwa sheria za nchi zitakuwa juu ya watu wote pamoja na Rais.

Watunga sheria wajitahidi kwenye kutunga sheria ziwe za kusimamia na kuwezesha zaidi na siyo za kudhibiti. Bila hivyo kila rais atapwaya hata awe mzuri kama lulu.
Asante,nimekuelewa vema naamini umejibu vema hasa.Kama nimekuelewa vizuri umemaanisha tunapaswa kuongozwa kwa sheria zilizo bora na zenye kujitosheleza na si hulka au matamanio,asante sana mama yangu
 
Hatimaye kamaliza siju yake bila matusi.
Amekuwa mstaarabu saana hata maswali ya kero dhidi ya UISLAM kajibu kwa hekima mno. Endelea hivihivi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nioneshe wapi nilianza kumtukana mtu?

Wewe ni mtu punguani kupita kiasi, kwani umekiri kuwa huu uzi umeusoma wote. Huwa unapenda huko "kutukana" kwangu?

Kwanza, siioni sababu ya wewe kufatilia mtu anaetukana kama hupendi maandiko yake.

Pili, umeutukana uongozi wa JF wote na wasaidizi wao humu JF kuwa hawafanyi kazi zao vizuri, wanaruhusu matusi kwenye majukwaa yasio ya matusi.

Umeuona upunguani wako?
 
Mufti wa bakwata hawezi kukurupuka na shutuma nzito kama hiyo bila kuwa na ushahidi.Ukipenda kubali kuwa tatizo lipo au hukupenda basi endelea kuficha maradhi. Mficha maradhi kifo humuumbua.
Basi inawezekana lile "tatizo la IT" bado lipo maana hata matokeo ya Form IV yaliyotangazwa juzi hali ni almost ileile. Nadhani haya "maradhi" yaanze kuangaliwa kwa jicho la tatu pia.
 
Basi inawezekana lile "tatizo la IT" bado lipo maana hata matokeo ya Form IV yaliyotangazwa juzi hali ni almost ileile. Nadhani haya "maradhi" yaanze kuangaliwa kwa jicho la tatu pia.
Hapo kuna tatizo kubwa zaidi ya IT.

Hayohayo "matokeo ya Form IV yaliyotangazwa juzi" kuna shule inaitwa Tumaini imefutiwa matokeo, unazijuwa sababu?
 
Kuoa = makubaliano kwa masharti ya upande mmoja tu.
Kuolewa = makubaliano kwa kukubali masharti ya upande mmoja tu.
Kuoana = makubaliano kwa kukubaliana masharti ya pande zote mbili.

Kuolewa ni kukubali posa na mahari na kuwa mke wa mtu. Na kuoa ni "vice versa".

Wewe unapokea posa na unakula mahari ya Mume halafu unadai mmeoana!!!???, very ridiculous.

Katika dini ya kiislamu kuna tofauti ya kuoa na kuolewa, kwa wazungu hakuna hilo wao ni "married" kwa wote mume na mke. Wala hakuna Marry and get married.

Please usituletee mambo ya Canada hapa.
 
Kwa sababu ndivyo media inavyokuaminisha na wewe bila kufikiri unakubali tu, hata ukweli unapodhihiri wewe kwa kuwa umeshajazwa ujinga (brain washed) wewe huuamini tena wewe upo kwenye ujinga uliojazwa nao.

Mfano hai. USA imeishambulia Iraq na kuuwa zaidi ya watu million mbili, watoto wadogo pekee zaidi ya million moja kwa kisingizio kuwa kuna silaha za maangamizi. Ulikuwa ni uongo tu. Hao siyo magaidi? Gaidi atakuwa Muiraq aliyeuliwa watoto zake anapojitetea! Au sivyo hivyo?

Ndiyo maana nnawaambia kwanini hamuusomi Uislam bila hiyana? Soma: QuranIndex.Net
Weapons of Mass Disappeared

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuolewa ni kukubali posa na mahari na kuwa mke wa mtu. Na kuoa ni "vice versa".

Wewe unapokea posa na unakula mahari ya Mume halafu unadai mmeoana!!!???, very ridiculous.

Katika dini ya kiislamu kuna tofauti ya kuoa na kuolewa, kwa wazungu hakuna hilo wao ni "married" kwa wote mume na mke. Wala hakuna Marry and get married.

Please usituletee mambo ya Canada hapa.
Mnajidanganya. Endelea kupitia uzi nimeelezea kwa kina kuhusu ndoa ya Kiislam. Hakuna kuoa au kuolewa Kiislam. Ni kuoana. Mahari ni "symbolic" inaweza kuwa hata aya ya Qur'an tu na si lazima iwe cha kuliwa kama ulivyodai.

Na mahari Kiislam inaweza ikarudi atapokuwacha mke. (Unafahamu kuwa mwanamke anaweza kukuwacha kisheria ya Kiislam?) Fikiri.
 
Huyu faiza amesoma jamani nimecheki majibu yake kwenye post nyingi Sana #natamani siku nikutane naye huyu mama mana ni mkubwa Sana kwangu huenda akanisaidia kwa lolote #hata mawazo niwatakie siku njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunawajua waislam huwa ni wazee wa kupanic na maandamano iwapo linatokea jambo lolote linapelekea kuichafua au kuidharirisha dini yao mfano la mtoto aliekojolea msaafu.
Faizafoxy na waislam wengine mbona mpo kimya(hamuandamani) kuona mamtu yanajiita BOKO HARAM,ALSHABAB ISIS yanachinja na kujilipua huku yanataja jina la Mungu wenu ALLLAH na mtume wake.? Je unataka tuamini kuwa vitendo vya kigaidi vimepewa baraka na waislam wote duniani kwa kukaa kwao kimya.?

kuidharirisha = kuidhalilisha

Ni punguani tu na asiyependa ukweli tu haelewi kuwa hivyo vikundi vyote ulivyovitaja vimeanzishwa na kufadhiliwa na nchi za Magharibi na Israel kuudhalilisha Uislam.

Tunaolewa hayo haitupi shida.

Fikiri sasa, mtoto mdogo wa kikristo ataitoa wapi Qur'an na wazo la mpaka afikie kuikojolea atakuwa amewaudhi Waislam amelitoa wapi??
 
Kufadhiliwa kuwa chizi sio tatizo,tatizo lipo ambae anakubali kuufanya uchizi kisa kafadhiliwa.SURA ZINAONEKANA MULE ZOTE ZINAONEKANA ZIMESHIKA DINI BALAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufadhiliwa kuwa chizi sio tatizo,tatizo lipo ambae anakubali kuufanya uchizi kisa kafadhiliwa.SURA ZINAONEKANA MULE ZOTE ZINAONEKANA ZIMESHIKA DINI BALAA

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongelea "power"! Unafahamu maana yake?
Inaongelea pesa, unafahamu maana yake?
Inaongelea askari wa kukodiwa, unafahamu maana yake?

Unaongelea magenge ya " jail birds" ambayo kufanya uhalifu bila kulipwa, Seuse ukiwalipa?

Unaongelea Mandela kufungwa kwa ugaidi maisha na kutumikia miaka 27 ya kifungo, kwanini awe gaidi kwa mmoja na mpigania uhuru kwa mwengine?

Mfano mzuri ni Tanzania yetu, kila mtu leo hii anaaminishwa Nyerere ni mtu mwema sana lakini kumbe aliwahi kukoswakoswa kupinduliwa mara nane katika utawala wake! Kwanini?

Ukiwa na majibu ya yote hayo utaelewa kuwa kumbe ni rahisi sana binaadam kufanya yasiyotarajiwa.
 
Alafu mnajiita DINI YA KUPIGANIA HAKI? hivi haki gani mnayo manishaga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom