FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Link haina ushahidi zaidi tu ya BAKWATA kumtaka Waziri awajibike kwa kuwa 70% ya watoto wa kiislamu walifail somo la dini.
Post #104: Hivi Waziri aliwahi kukiri kweli eti kulikuwa na system glitch iliyobagua tu waislamu na kuwakata marks? Tuwe na akiba ya maneno
Nanukuu hapa post namba tano ya uzi huo "...tatizo lamsingi ni kufelishwa kwa makusudi kwa wanafunzi wa kiislamu katika somo husika wakati nakala za mitihani yao zinaonesha wamefaulu, alifafanua mufti simba".
Ukiusoma huo uzi bila kuwa biased na kukiri kwake Ndalichako kwenye mkutano na waandishi wa habari kuwa "kweli kulikuwa na tatizo la" kompyuta ni ushahidi tosha kuwa Waislam tunahujumiwa.
Mufti wa bakwata hawezi kukurupuka na shutuma nzito kama hiyo bila kuwa na ushahidi.
Ukipenda kubali kuwa tatizo lipo au hukupenda basi endelea kuficha maradhi. Mficha maradhi kifo humuumbua.