JF Hard Talk "FaizaFoxy"

JF Hard Talk "FaizaFoxy"

Ndiyo hao ninaosema mimi. Gaidi kwa mmoja mpigania Uhuru kwa mwengine.

Ukiwasoma boko haram wanasema wao wanapigania haki lakini ukiwasoma wanaowapinga wanaweka hawa ni magaidi.

Ukiwasoma Alshaabab wansema wao wanipigania Somalia kwa kuvamiwa na majeshi ya nje. Lakini wengine wanasema ni magaidi.

Hayo hayakuanza leo wala jana. Ndiyo maana nikakupa mfano wa Mandela.

Ukipitia mitandaoni na kutaka kujifunza, utakuta kuna Red Brigades Walikuwa Italy, nao ni hivyo hivyo.

Utakuta kule Ireland utawasoma kina Sinn Vein na kundi lake la IRA nao waliitwa magaidi.

Hakuna dini yenye amani kama Uislam. Uislam ungekuwa na ugaidi hapa Tanzania kungekuwa hakuna dini nyingine kwani Uislam ulikuwepo hapa zaidi ya miaka 1000 kabla ya Ukristo.
Ngoja nikubadilishie swali madam maana naona unalikwepa mnoo hili neno Gaidi, Hawa Al-Shaabab wanajinasibu kwamba wao wanapigania kuanzisha Taifa la Kiislamu litakalo ongozwa na Sheria za Kiislamu na hata katika eneo wanaloshikilia Nchini Somalia wanatawala kwa Sharia, Hakuna watoto kwenda Shule ni Madrassa tu, Je wewe kama mwenye Ufahamu wa kutosha juu ya DINI hii unadhani wako sahihi ama wnakosea? Je kwako wewe hii ni JIHAD?
 
Na mimi nikazie hapa kwanini kila tukio la kigaidi lihusishe waislamu??
Kwann wakimbilie kuua raia wasio na hatia?
Mimi binafsi naamini dini ya kiislamu ndio sababu kubwa ya machafuko na kukosekana kwa amani duniani

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa huo upunguani. Nimekwepa nini na nimekujibu kwa muono wangu? Au kuna majibu ulishayapanga ujibiwe? Si ungenambia tu, swali hili nataka jibu hili.

Sharia haimkatazi mtu kupata elimu yeyote ile. Nadhani hafahamu kuwa hakuna dini iliyosisitiza kusoma kama Uislam. Aya ya kwanza ya Qur'an kushushwa ni "Soma".

Hivi " madrasa" unaoisikia unafikiri nini zaidi? Unajuwa kuwa neno "madarasa" la Kiswahili limetokana na hilo "madrasa"? Limit ya masomo ya madrasa ni Mwalimu au waalimu tu wanaofundishwa. Hakuna somo lisilofundishwa madrasa. Kumbuka hilo.

Neno "shule" ukienda Somalia hawalifahamu hilo, labda huyo Msomali ajuwe Kiswahili au Kijerumani kwani neno hilo limetokana na Kijerumani.

Nnaamini mtu ukiwa mjinga ndiyo unakubali kila unaloambiwa bila hata ya kufikiri au kuuliza.

Nakupongeza sana wewe kwa kuuliza kwani unaonesha unayosikia hayakuingii akilini. Hiyo ni akili nzuri.
 
Kwa sababu ndivyo media inavyokuaminisha na wewe bila kufikiri unakubali tu, hata ukweli unapodhihiri wewe kwa kuwa umeshajazwa ujinga (brain washed) wewe huuamini tena wewe upo kwenye ujinga uliojazwa nao.

Mfano hai. USA imeishambulia Iraq na kuuwa zaidi ya watu million mbili, watoto wadogo pekee zaidi ya million moja kwa kisingizio kuwa kuna silaha za maangamizi. Ulikuwa ni uongo tu. Hao siyo magaidi? Gaidi atakuwa Muiraq aliyeuliwa watoto zake anapojitetea! Au sivyo hivyo?

Ndiyo maana nnawaambia kwanini hamuusomi Uislam bila hiyana? Soma: QuranIndex.Net
 
Hilo ni kweli kabisa. Ilifikia mpaka Waislam kupunguziwa points zao wakati Ndalichako alipokuwa mkuu wa mitihani. Waislam mpaka wakaingia mitaani kuandamana mpaka Ndalichako akaachia ngazi.

Magufuli alipoingia madarakani akatuzaba Waislam kofi la kikelb kwa kumrudisha wizara hiyohiyo na kumfanya Ndalichako awe waziri wa elimu. Hatari.

Asante kwa jibu zuri.

Kama nitapata cha kuuliza nitauliza.
 
Sasa huo upunguani. Nimekwepa nini na nimekujibu kwa muono wangu? Au kuna majibu ulishayapanga ujibiwe? Si ungenambia tu, swali hili nataka jibu hili.

Sharia haimkatazi mtu kupata elimu yeyote ile. Nadhani hafahamu kuwa hakuna dini iliyosisitiza kusoma kama Uislam. Aya ya kwanza ya Qur'an kushushwa ni "Soma".

Hivi " madrasa" unaoisikia unafikiri nini zaidi? Unajuwa kuwa neno "madarasa" la Kiswahili limetokana na hilo "madrasa"? Limit ya masomo ya madrasa ni Mwalimu au waalimu tu wanaofundishwa. Hakuna somo lisilofundishwa madrasa. Kumbuka hilo.

Neno "shule" ukienda Somalia hawalifahamu hilo, labda huyo Msomali ajuwe Kiswahili au Kijerumani kwani neno hilo limetokana na Kijerumani.

Nnaamini mtu ukiwa mjinga ndiyo unakubali kila unaloambiwa bila hata ya kufikiri au kuuliza.

Nakupongeza sana wewe kwa kuuliza kwani unaonesha unayosikia hayakuingii akilini. Hiyo ni akili nzuri.
Madam Ili nipate uelewa wa kutosha katika hili ebu nisaidie nini tafsiri hasa ya hili neno GAIDI, Hapo juu ulitoa tafsiri hii kwa neno Gaidi ''Gaidi kwa mmoja ni mpigania Uhuru kwa mwengine'' nikasema haya makundi yote Al_Shaabab, ISIS, Boko Haram nk. Hawa wote ni wapigania Uhuru dhidi ya Uislamu ili kuweka Serikali inayofuata Sheria ya Kiislamu, Kwa tafsiri yako hiyo niliyonukuu tatizo nini nikiwaita hawa watu ni Magaidi kwa maana ya wapinia Uhuru wa wengine? Swali la msingi ni kwamba Je kati haya makundi yote ya wapigania Uhuru wewe binafsi unaamini wanapigana JIHAD?, ''Hakuna somo lisilofundishwa madrasa'' Unamaanisha mnafundisha kwa kufuata mtaala wa Serikali tafadhali niweke sawa hapa.
 
Kwa sababu ndivyo media inavyokuaminisha na wewe bila kufikiri unakubali tu, hata ukweli unapodhihiri wewe kwa kuwa umeshajazwa ujinga (brain washed) wewe huuamini tena wewe upo kwenye ujinga uliojazwa nao.

Mfano hai. USA imeishambulia Iraq na kuuwa zaidi ya watu million mbili, watoto wadogo pekee zaidi ya million moja kwa kisingizio kuwa kuna silaha za maangamizi. Ulikuwa ni uongo tu. Hao siyo magaidi? Gaidi atakuwa Muiraq aliyeuliwa watoto zake anapojitetea! Au sivyo hivyo?

Ndiyo maana nnawaambia kwanini hamuusomi Uislam bila hiyana? Soma: QuranIndex.Net
Kuna ukweli mchungu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madam Ili nipate uelewa wa kutosha katika hili ebu nisaidie nini tafsiri hasa ya hili neno GAIDI, Hapo juu ulitoa tafsiri hii kwa neno Gaidi ''Gaidi kwa mmoja ni mpigania Uhuru kwa mwengine'' nikasema haya makundi yote Al_Shaabab, ISIS, Boko Haram nk. Hawa wote ni wapigania Uhuru dhidi ya Uislamu ili kuweka Serikali inayofuata Sheria ya Kiislamu, Kwa tafsiri yako hiyo niliyonukuu tatizo nini nikiwaita hawa watu ni Magaidi kwa maana ya wapinia Uhuru wa wengine? Swali la msingi ni kwamba Je kati haya makundi yote ya wapigania Uhuru wewe binafsi unaamini wanapigana JIHAD?, ''Hakuna somo lisilofundishwa madrasa'' Unamaanisha mnafundisha kwa kufuata mtaala wa Serikali tafadhali niweke sawa hapa.
Kwani sharia za Kiislam zina tatizo lipi? Nioneshe moja ambayo wewe unaiona haifai. Sasa hao wanaopingana nao wanaweka sheria ipi?
 
1- Ukipewa nafasi ya kua raisi wa jmt ni hatua gani za mwanzo kabisa utakazochukua kurekebisha unapoona hapako sawa?

2- Ni jambo gani kubwa utakalo anza ku deal nalo ili nchi ikue kiuchumi na ijitegemee na kuondokana na umasikini? (japo hii ni long plan)

3-Ni kweli bara la Africa watu ni "masikini" kwasababu ya westeners wanazinyonya nchi zao kwa njia mbalimbali kama mikopo,misaada fake n,k?
FaizaFoxy hils Swali langu hujanijibu Dada.
 
Kwani sharia za Kiislam zina tatizo lipi? Nioneshe moja ambayo wewe unaiona hafai. Sasa hao wanaopingana nao wanaweka sheria ipi?
Nachotaka ni ukubali wako tu Madam Wanachofanya kwako wewe ni Jihad? hili ni swali binafsi sijasema sheria za kiislam zina tatizo, Pia kuhusu madrasa kufundisha masomo yote sijaelewa ulimaanisha nini ni mtaala gani huo unatumika. Asante kwa majibu mazuri.
 
Ndiyo yaleee, nilisema juu huko, unataka nijibu utakavyo wewe! Umekiri juu huko nilikuwa sahihi.

Hivi ni nini maana ya Jihad? Maana unaweza kuuliza swali ukatamka neno kwa kujazwa tu ujinga bila kufahamu maana yake.
 
Nijuavyo JIHAD ni kupigania Dini ya Mwenyezi MUNGU (Islam) au Kuitakasa. Nipe tafsiri iliyo sahihi km siko sawa Madam.
 
"Nnaamini mtu ukiwa mjinga ndiyo unakubali kila unaloambiwa bila hata ya kufikiri au kuuliza."

nimekuelewa kwamba kile wanachokifanya alshabaab,bokoharamu si jihad ile ya kiislam
Sasa huo upunguani. Nimekwepa nini na nimekujibu kwa muono wangu? Au kuna majibu ulishayapanga ujibiwe? Si ungenambia tu, swali hili nataka jibu hili.

Sharia haimkatazi mtu kupata elimu yeyote ile. Nadhani hafahamu kuwa hakuna dini iliyosisitiza kusoma kama Uislam. Aya ya kwanza ya Qur'an kushushwa ni "Soma".

Hivi " madrasa" unaoisikia unafikiri nini zaidi? Unajuwa kuwa neno "madarasa" la Kiswahili limetokana na hilo "madrasa"? Limit ya masomo ya madrasa ni Mwalimu au waalimu tu wanaofundishwa. Hakuna somo lisilofundishwa madrasa. Kumbuka hilo.

Neno "shule" ukienda Somalia hawalifahamu hilo, labda huyo Msomali ajuwe Kiswahili au Kijerumani kwani neno hilo limetokana na Kijerumani.

Nnaamini mtu ukiwa mjinga ndiyo unakubali kila unaloambiwa bila hata ya kufikiri au kuuliza.

Nakupongeza sana wewe kwa kuuliza kwani unaonesha unayosikia hayakuingii akilini. Hiyo ni akili nzuri.
 
Nijuavyo JIHAD ni kupigania Dini ya Mwenyezi MUNGU (Islam) au Kuitakasa. Nipe tafsiri iliyo sahihi km siko sawa Madam.
Jihad ni kama Kiswahili tu juhudi. Kila tulifanyalo tunatakiwa tulifanye kwa juhudi.

Binafsi sijaona mahali katika Uislam kumefundisha kuwa jihad ni "kupigania dini". Kupigana katika Uislam ni kwa kujihami tu.

Nimewahi kusikia kuwa "crusade" maana yake ni vita vya msalaba. Kweli?
 
"Nnaamini mtu ukiwa mjinga ndiyo unakubali kila unaloambiwa bila hata ya kufikiri au kuuliza."

nimekuelewa kwamba kile wanachokifanya alshabaab,bokoharamu si jihad ile ya kiislam
Soma post namba 56.
 
Nazungumzia hawa wanaobeba mwavuli wa kidini km Boko Haram, Al-Shabab, ISIS nk. kama ulivyosema Ugaidi ni mpigania Uhuru kwa mwingine na hawa wote wanadai wanapigania Uhuru wa kidini ili kuweka Islamic Law (Sharia). Swali langu ni kwamba ni kweli mafundisho yenu yanawataka mfanye Ugaidi?
Sasa kaka si ameahakujibu pale juu. Mbona unarudisha mambo nyuma? Amesema uislam haufundishi mtu kuwa gaidi na ili kuekewa zaidi akakupa nyuzi ya kuifuata ili upate ufunuo zaidi. Sasa tena unarudisha kule kule. Ohooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jihad ni kama Kiswahili tu juhudi. Kila tulifanyalo tunatakiwa tulifanye kwa juhudi.

Binafsi sijaona mahali katika Uislam kumefundisha kuwa jihad ni "kupigania dini". Kupigana katika Uislam ni kwa kujihami tu.

Nimewahi kusikia kuwa "crusade" maana yake ni vita vya msalaba. Kweli?
Kumbe haya makundi ya kigaidi wanaposema wanapigana Jihadi humaanisha "wanapigana kwa Juhudi" Asante Madam hakika hii sikua naifahamu. ''Kupigana katika Uislaamu ni kujihami tu'' sawa sasa hawa hawanopigana kwa kudai wanaitetea Dini ya Mwenyezi Mungu wanaitwaje? Pia kuna Jihadi kubwa na ndogo (Jihad al-nafsi) unaweza kunitofautishia hapa kwa kuzingatia tafsiri yako ya hapo juu.
Kuhusu ''Crusade'' Binafsi sina ufahamu juu ya hilo na wala sijawahi kusikia nisikudanganye Madam, hata hivyo leo HARDTALK ni zamu yako Madam subiri zamu yangu uniulize(jokes).
 
Nimeshajibu juu kidogo huko rudia posts.

Katika Uislam hakuna kutetea "dini ya Mungu". Katika Uislam kuna kuulingania Uislam. Uislam ni dini ya walimwengu wote. Muislam wa kweli hakubali umtoe kwenye Uislam au uutukane Uislam, ataulingania na atajitahid kila njia aulinganie Uislam.

Unafahamu maana ya Uislam?
 
Back
Top Bottom