Degree 1Naomba kujua
-elimu yake
Single-mahusiano yake (kwenye ndoa au single)
Afya-taaluma
Pwani-anaishi wap (mkoa)
Mimi ni kijana wa kawaida sana, sio kama mnavyofikiria hapa JF, mwembamba lakini sio sana, mrefu wa kawaida, mweupe, mpenda utani, mkimya(hapa kabla hatukazoeana ndio nakuwa hivi, ila ukinizoea utakoma kwa utani[emoji3][emoji3][emoji3])-yeye ni MTU wa namna gani?
NB:naomba nijibiwe kiswahili (kiingereza sikimudu)
Hv wewe ni mwanafunzi wa MUHAS au umehitimu pale?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Degree 1SingleAfyaPwaniMimi ni kijana wa kawaida sana, sio kama mnavyofikiria hapa JF, mwembamba lakini sio sana, mrefu wa kawaida, mweupe, mpenda utani, mkimya(hapa kabla hatukazoeana ndio nakuwa hivi, ila ukinizoea utakoma kwa utani[emoji3][emoji3][emoji3])
Bila shaka nitakuwa nimekujibu.
Kila kitu kina pande 2(zuri na baya)Nauliza.
1. Unazungumziaje maswala ya utandawazi na vijana
Kwa mujibu wa NECTA, ufaulu umepanda(maana wao ndio wenye takwimu zaidi ya mimi) japo kuna wenye four na zero kabisa maana kila mwaka huwa zinakuwepo2. Matokeo ya form yametangazwa je ufaulu umepanda ama umeshuka ukizingatia unajumlisha na waliopata division 4 ambayo haitamsaidia mtahiniwa.
3. Kila kukicha maswala ya mahusiano yawe ya ndoa ama BF na GF yanachangamoto uvumilivu umepungua nini maoni yako na mtazamo wako.
Nimelijibu.Wewe ni nani mkuu Mwifwa??
Sijawahi na sitawahi kutumia.1. Konyagi ni kilevi au kinywaji?
2. Je ni kweli konyagi hutibu mafua?
3. Je wewe binafsi umewahi kutumia konyagi?
Sent using Jamii Forums mobile app