Jf Hard Talk "Mwifwa"

Jf Hard Talk "Mwifwa"

Mwifwa ni jina la wapi au lina uhusiano gani na wewe mpaka ukaamua kujiita humu JF

La pili yasemekana pwani ni mkoa wenye viwanda vingi vipya vilivyojengwa na Jpm, Je, umewahi kuvishuhudia?

Habari ya siku nyingi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umri unasonga huoni kuna haja ya wewe kuvuta jiko?


Screenshot_20190122-165049.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nisiwataje.

Wapo wanaoniboa humu JF, ila nimechagua kutojibizana nao hata kidogo, hiyo ndio namna bora ya kuishi na watu wa hivyo humu ndani
Swali jingine

Ukipewa nafasi kama mdau Wa Jf nini ungependa kibadilishwe
 
Siku za hivi karibuni kumetokea wimbi la wafanyakazi wa huduma za afya (Madaktari na Wasaidizi) kuwapima wagonjwa baadhi ya magonjwa bila idhini ya mhusika, hili suala unalizungumziaje?
 
Mdada akikutongoza utamchukuliaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitamchukulia kawaida japo kutakuwa na malengo kadhaa kuhusu huyo mwanamke kunitongoza.

1. Inaweza kuwa ni hisia kama zilivyo hisia za kawaida siku zote.
2. Anaweza akawa aanatumia hiyo mbinu ili kusema duku duku lake ambalo ameshindwa kulisema kwa njia zingine
3. Anaweza akawa anafanya utafiti juu yangu(hapa tuchukulie anapeleleza)
4. .........
N.k
 
Hiyo namba mbili dukuduku kama lipi
Nitamchukulia kawaida japo kutakuwa na malengo kadhaa kuhusu huyo mwanamke kunitongoza.

1. Inaweza kuwa ni hisia kama zilivyo hisia za kawaida siku zote.
2. Anaweza akawa aanatumia hiyo mbinu ili kusema duku duku lake ambalo ameshindwa kulisema kwa njia zingine
3. Anaweza akawa anafanya utafiti juu yangu(hapa tuchukulie anapeleleza)
4. .........
N.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu kina pande 2(zuri na baya)

Utandawazi una faida kubwa sana kwa vijana ukitumika vizuri, mambo mengi yamekuwa rahisi kutokana na utandawazi ikiwemo namna na njia za kujikwamua kwa kutafuta pesa.

Pia utandawazi umekuwa janga kubwa kwa vijana maana unawalemaza katika kujibidisha na mambo yenye tija badala yake wanataka kutumia njia ya mkato kwa kivuli cha utandawazi mwishowe wanashindwa kufanikiwa ipasavyo.

Siku hizi vijana wanajiingiza kutafuta pesa kwa urahisi hasa kutumia mitandao(japo ikitumika vizuri unatoka pia) na kuacha fursa zingine lukuki mtaani ikiwemo ujasiriamali ama biashara au kilimo(japo kuna changamoto pia)

Janga kubwa la utandawazi ni mdororo wa maadili kwa vijana(hili kila mtu ni shahidi)Kwa mujibu wa NECTA, ufaulu umepanda(maana wao ndio wenye takwimu zaidi ya mimi) japo kuna wenye four na zero kabisa maana kila mwaka huwa zinakuwepo

Mimi naamini hizi nguzo za mahusiano na ndio nazitumia kwenye mahusiano yangu.
1. Uaminifu
2. Upendo kwa dhati
3. Ukweli

ukizingatia hivyo 3 mahusiano yatakuwa mazuri sana.
Asante mkuu kwa majibu murua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom