Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ebu weka tunguli pembeni tuone kama utayapata majibu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu weka tunguli pembeni tuone kama utayapata majibu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani Spika kashatoa muongozo?[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahahahaha ndiwoooooKwani Spika kashagoa muongozo?[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu wewe umevuta???? Sorry nje ya madaMkuu umri unasonga huoni kuna haja ya wewe kuvuta jiko?
View attachment 1004859
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nisiwataje.Bila kubagua na kuficha nitajie watu na ID znazokuboa hapa Jf na sababu
Haikua official...lakini nilipoteza furaha yangu kwa kipindi chote nilichokua nae
[emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Haikua official...lakini nilipoteza furaha yangu kwa kipindi chote nilichokua nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali jingineNaomba nisiwataje.
Wapo wanaoniboa humu JF, ila nimechagua kutojibizana nao hata kidogo, hiyo ndio namna bora ya kuishi na watu wa hivyo humu ndani
Nitamchukulia kawaida japo kutakuwa na malengo kadhaa kuhusu huyo mwanamke kunitongoza.
Ndio.Ukidanganya natoboa siri
Swali langu ni vp bado mko kwenye mahusiano na moneytalk?
Nitamchukulia kawaida japo kutakuwa na malengo kadhaa kuhusu huyo mwanamke kunitongoza.
1. Inaweza kuwa ni hisia kama zilivyo hisia za kawaida siku zote.
2. Anaweza akawa aanatumia hiyo mbinu ili kusema duku duku lake ambalo ameshindwa kulisema kwa njia zingine
3. Anaweza akawa anafanya utafiti juu yangu(hapa tuchukulie anapeleleza)
4. .........
N.k
Asante mkuu kwa majibu muruaKila kitu kina pande 2(zuri na baya)
Utandawazi una faida kubwa sana kwa vijana ukitumika vizuri, mambo mengi yamekuwa rahisi kutokana na utandawazi ikiwemo namna na njia za kujikwamua kwa kutafuta pesa.
Pia utandawazi umekuwa janga kubwa kwa vijana maana unawalemaza katika kujibidisha na mambo yenye tija badala yake wanataka kutumia njia ya mkato kwa kivuli cha utandawazi mwishowe wanashindwa kufanikiwa ipasavyo.
Siku hizi vijana wanajiingiza kutafuta pesa kwa urahisi hasa kutumia mitandao(japo ikitumika vizuri unatoka pia) na kuacha fursa zingine lukuki mtaani ikiwemo ujasiriamali ama biashara au kilimo(japo kuna changamoto pia)
Janga kubwa la utandawazi ni mdororo wa maadili kwa vijana(hili kila mtu ni shahidi)Kwa mujibu wa NECTA, ufaulu umepanda(maana wao ndio wenye takwimu zaidi ya mimi) japo kuna wenye four na zero kabisa maana kila mwaka huwa zinakuwepo
Mimi naamini hizi nguzo za mahusiano na ndio nazitumia kwenye mahusiano yangu.
1. Uaminifu
2. Upendo kwa dhati
3. Ukweli
ukizingatia hivyo 3 mahusiano yatakuwa mazuri sana.
Huyo ni kiongozi wa kada ya Afya kwa upande wa Wafamasia kama ilivyo viongozi wengine wa kada za afya.