Jf Hard Talk "Mwifwa"

Mwifwa ni jina la wapi au lina uhusiano gani na wewe mpaka ukaamua kujiita humu JF

La pili yasemekana pwani ni mkoa wenye viwanda vingi vipya vilivyojengwa na Jpm, Je, umewahi kuvishuhudia?

Habari ya siku nyingi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nisiwataje.

Wapo wanaoniboa humu JF, ila nimechagua kutojibizana nao hata kidogo, hiyo ndio namna bora ya kuishi na watu wa hivyo humu ndani
Swali jingine

Ukipewa nafasi kama mdau Wa Jf nini ungependa kibadilishwe
 
Siku za hivi karibuni kumetokea wimbi la wafanyakazi wa huduma za afya (Madaktari na Wasaidizi) kuwapima wagonjwa baadhi ya magonjwa bila idhini ya mhusika, hili suala unalizungumziaje?
 
Mdada akikutongoza utamchukuliaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitamchukulia kawaida japo kutakuwa na malengo kadhaa kuhusu huyo mwanamke kunitongoza.

1. Inaweza kuwa ni hisia kama zilivyo hisia za kawaida siku zote.
2. Anaweza akawa aanatumia hiyo mbinu ili kusema duku duku lake ambalo ameshindwa kulisema kwa njia zingine
3. Anaweza akawa anafanya utafiti juu yangu(hapa tuchukulie anapeleleza)
4. .........
N.k
 
Hiyo namba mbili dukuduku kama lipi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu kwa majibu murua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…