Ahaahah aiseeeeeeeeeeMwifwa unaweza kunitumia ki ten ambalo hauna kazi nalo hapo natanguliza shukrani
Lina maanisha ''Mpwa" kwa lugha ya kabila languMwifwa ni jina la wapi au lina uhusiano gani na wewe mpaka ukaamua kujiita humu JF
Sijawahi kuvishuhudia na kama vipo labda sehemu zingine sio mahala ninapoishi mimiLa pili yasemekana pwani ni mkoa wenye viwanda vingi vipya vilivyojengwa na Jpm, Je, umewahi kuvishuhudia?
Kwema kabisa mkuu.Habari ya siku nyingi mkuu
Nishaingiza jiko la Gesi.Mkuu umri unasonga huoni kuna haja ya wewe kuvuta jiko?
View attachment 1004859
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahah kweliMwifwa unaweza kunitumia ki ten ambalo hauna kazi nalo hapo natanguliza shukrani
Naona unamwita mpenzi mtazamaji mwenzako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nishaingiza jiko la Gesi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jiko lingine lipo mbioni mkuu
Ebu weka tunguli pembeni tuone kama utayapata majibu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilipokuwa O-level nilitamani niwe Mhandisi maana nilipenda nikasome PCM A-level.Mwifwa taaluma ya Afya ni pana sana...hongera kwa hilo.
Je...umesomea Afya sababu ya FURSA au ni MAPENZI uliokuwa nayo kitambo?
Ningewashirikisha wana JF kutoa maoni kuhusu hilo jambo maana wao ndio wanaitambua kwa matumizi zaidi.Swali jingine
Ukipewa nafasi kama mdau Wa Jf nini ungependa kibadilishwe
Kwa kuwa nishaingia kwenge mahusiano.Ni Vitu Gani unaviangalia ukitaka kuingia kwenye mahusiano??
ukikutana na Rais JPM utamwambia nini?Ningewashirikisha wana JF kutoa maoni kuhusu hilo jambo maana wao ndio wanaitambua kwa matumizi zaidi.
Halafu ndio ningechambua maoni kadhaa ya muhimu zaidi nikiwa na timu yangu ya JF na kuyafanyia kazi.
NB: Kuhusu privacy ningeongeza juhudi zaidi(japo za sasa zipo vizuri pia) maana siku ya jana au ya leo haiwezi kufanana na ya kesho
Kwa maadili ya Afya lazima pawepo na ruhusa ya mgonjwa au ndugu(kwa wagonjwa ambao hawajitambui au watoto)Siku za hivi karibuni kumetokea wimbi la wafanyakazi wa huduma za afya (Madaktari na Wasaidizi) kuwapima wagonjwa baadhi ya magonjwa bila idhini ya mhusika, hili suala unalizungumziaje?
Hata kukuchuna maana ukishalainika kifuatacho[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kipi? Cha nini?Mwifwa unaweza kunitumia li ten ambalo hauna kazi nalo hapo natanguliza shukrani
Nilipokuwa O-level nilitamani niwe Mhandisi maana nilipenda nikasome PCM A-level.
Uwezo wangu kwenye masomo ulikuwa wa kawaida.
Wakati wa hatua za mwisho kumaliza mtihani wa NECTA form 4, tulipoanza kujaza comb na shule za Advance ambazo tutachagualiwa tukifaulu.
Nilianza kwa kuchagua comb ya PCB kwa kuchagua Ilboru kama chaguo la kwanza, lengo likiwa nikichaguliwa hiyo shule kwa comb ya PCB, baadae nikabadili niende PCM(maana nilifanya utafiti mdogo nikagundua unaweza kuwa na ufaulu wa One ya kawaida na unaweza kuchaguliwa shule kubwa kama Ilboru, Mzumbe, Kibaha, Tabora Boys kwa PCB)
Lakini mambo yakawa tofauti, nilichaguliwa shule nyingine ambayo sikuitarajia japo niliichagua kwa comb nyingine.
Wakati naenda kuanza Alevel nikaambiwa nibaki PCB maana nitasoma mambo ya Afya nikifika chuo endapo nitafaulu, basi hadi hapo nikabaki na PCB na nikakomaa kufanya juhudi za kufaulu(nilisota sana) hadi nikafanikiwa na nikafanikiwa pia kusoma mambo ya Afya.
Bila shaka nitakuwa nimekujibu.