[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hizi interview zinipitege aisee. Maswali mengine duh hasa weekend Balimi zikishakolea.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unaruhusiwa kuuliza muda wowote swali lako, utajibiwa
HayaHahaaa. Asante.
Hahahaaa. Kama namuona vile.
khaaa jaman,ntakufinyaUkidanganya natoboa siri
Swali langu ni vp bado mko kwenye mahusiano na moneytalk?
Aweee baibeNdio.
Halafu wewe mbibi...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]pole kipenzi[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ahsante mpenzi wangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tafadhali usiseme hapana " wajua huwa natamani nikiwa mkubwa niwe kama wewe ...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa mpenzi wangu, tukanywe chai kwanza
Haha kama yapiHizi interview zinipitege aisee. Maswali mengine duh hasa weekend Balimi zikishakolea.