Jf Hard Talk "Mwifwa"

Nishaingiza jiko la Gesi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jiko lingine lipo mbioni mkuu
Juu kule umesema upo single
Kwny coment ya ledada umekubali bado uko mahusianoni na moneytalk,
Hapa uko mbioni kuvuta jiko

Which is which?

Or kwako "single" ina maanisha nini?

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Which is which?

Or kwako "single" ina maanisha nini?

Ukifuatilia jinsi swali lilivyoulizwa utaona kulikuwa na option 2 alizoziweka muulizaji.

Alisema ''uko kwenye mahusiano(ndoa au single)?"

Nikajibu ''Single"

NB: Ukiangalia hapo utagundua muulizaji alikosea alipoweka hizo option kwenye mabano, mahusiano ni baina ya watu 2, sasa akiweka neno Single linakuwa kinyume neno mahusiano.

Ilitakiwa aweke neno lingine linaloonesha mahusiano lakini isiwe ndoa badala ya kuweka neno Single.
 
Hapana mie ni msomaji tu, labda moja ya majibu yake yanaweza kufanya niulize swali la nyongeza. πŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ˜Ž

Hahahaaa. Kama namuona vile.

Nimekuja na mie nna maswali yangu pia. Vp we ushamswalika au ndio unayaandaa? πŸ™ŠπŸ™Š
 
Juu kule umesema upo single
Kwny coment ya ledada umekubali bado uko mahusianoni na moneytalk,
Hapa uko mbioni kuvuta jiko

Which is which?

Or kwako "single" ina maanisha nini?

Be Humble is free of charge [emoji873]
Ma mdogo unafuatilia hadi nukta[emoji12][emoji12] vipi ulitaka ujiweke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nalijua hilo la kumisika nawe pia umemisika, na hii tabia ya kuniwekea kufuli kwenye pm umeianza lini? 😜😜😜 Weekend iko poa aisee ni mwendo wa kujirusha tu. Vipi weye weekend yako?

Hahahaaaa. Sawa.

Ila umemisika. Weekend ikoje huko?
 
Nalijua hilo la kumisika nawe pia umemisika, na hii tabia ya kuniwekea kufuli kwenye pm umeianza lini? 😜😜😜 Weekend iko poa aisee ni mwendo wa kujirusha tu. Vipi weye weekend yako?
Hahahaaa. Hapo kwenye red nimekuiga ujue. 😎😎😎

Nafurahi kusikia uko poa. Haya uwe na Weekend njema. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…