moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Tafadhali usiseme hapana " wajua huwa natamani nikiwa mkubwa niwe kama wewe ...View attachment 1005252
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Juu kule umesema upo singleNishaingiza jiko la Gesi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jiko lingine lipo mbioni mkuu
Which is which?
Or kwako "single" ina maanisha nini?
Hahahaaa. Kama namuona vile.
Nimekuja na mie nna maswali yangu pia. Vp we ushamswalika au ndio unayaandaa? 🙊🙊
Sizitamani kabisaaaa Khantwe.
Hahahaaaa. Sawa.Hapana mie ni msomaji tu, labda moja ya majibu yake yanaweza kufanya niulize swali la nyongeza. 🙊🙊🙊😎
Ma mdogo unafuatilia hadi nukta[emoji12][emoji12] vipi ulitaka ujiweke?Juu kule umesema upo single
Kwny coment ya ledada umekubali bado uko mahusianoni na moneytalk,
Hapa uko mbioni kuvuta jiko
Which is which?
Or kwako "single" ina maanisha nini?
Be Humble is free of charge [emoji873]
Hahahaaaa. Sawa.
Ila umemisika. Weekend ikoje huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi tayar nshawahiwaMa mdogo unafuatilia hadi nukta[emoji12][emoji12] vipi ulitaka ujiweke?
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri ujadiliwe na Kamati ya Hardtalk usiwe na haraka.Nasubiri JF hard Talk mwalikwa akiwa ni Jingalao
Achaaaaa.
Hahahaaa. Hapo kwenye red nimekuiga ujue. 😎😎😎Nalijua hilo la kumisika nawe pia umemisika, na hii tabia ya kuniwekea kufuli kwenye pm umeianza lini? 😜😜😜 Weekend iko poa aisee ni mwendo wa kujirusha tu. Vipi weye weekend yako?