Samahani mkuu labda sikueleweka
1.nini maana ya kukimbilia mlima Yudea
2. Nini maana ya "wakati wa baridi"
3. Chukizo aliyesimama.... Je mahali Patakatifu ni wapi??
Nilitaka unsiaidie figuratively zina maana gani
Najibu kama ifutavyo swali moja moja:
Utanipa uelewa wako wew pia kama tutatofautiana sana;-
Swali la
1. Ukisoma juu kidogo utaona Yesu akiwa anaongea na wanafunzi wake, walikua katika pande za milima, so na nadhan huko uyahudi kuna maenro mengi ya milima, so katika uharibifu huo utakao tokea ulio nenwa na Daniel, basi wayahudi wengi ndipo watafikilia kukimbilia miliman
Anajarbu kukuonesh kuwa kutakuwa na uharibifu mkubwa kiasi gani.
2. Ndio akawaambia bora isiwe wakati wa baridi, watateseka na baridi wakifata wokovu siku za mwisho zikikaribia,
Maana kaeleza wazi watu watatapa tapa sana kutafuta wokovu, watatokea manabii wengi wa uwongo wanao tenda miujiza,
Mfano kumbuka kipindi cha kikombe cha babu, watu walivo safir kwenda alipo. Na hiyo ni kidogo tu kimefanywa na boya fulan huku tz.
3. Mstari wa 15_ Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Daniel limesimama katika patakatifu
Ni kwamba uharibifu huo waliambia toka nyuma na Nabii Daniel, so Yesu anawaambia ndipo wataona chukizo au ubaya wa lile lililonewa na Daniel.
Na kuwa ndipo watajua kuwa ni kweli limesimama katika patakatifu. Yaniiiii ni jambo ambalo Mungu kapanga litokee. Means lipo kwenye mipango ya Mungu,
Ya Mungu huitwa matakatifu.
NADHANI UTANIPATA KIDOGO HAPO MKUU.
Sent using
Jamii Forums mobile app