JF HARDtalk na "Mshana JR"

JF HARDtalk na "Mshana JR"

Umetisha Mkuu, naona umeminya kiaina wale waliotaka kusarandia wa moyo wako wakikusoma hapo juu wataachana na dhana ya mtongozo. Hukawii kuwalaza makaburini uchi wa mtu!!!

Dah! Haya makitu mie ningeyajua ningeogopa sana kuyatumia. Kumdhuru mtu hata aliyenikosea nisingeweza aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Mshana yuko gamboshi huko, kwenye project ya uchawi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kisiwa cha Gamboshi nilidhania kipo duniani ktk ulimwengu wa mwili,kumbe sio.Niliyasikia mazungumzo ya msukule mmoja aliyerudishwa na Gwajima ambaye alikaa kisiwa cha gamboshi miaka 12,ni kisiwa cha wachawi na cha hatari.Mshana kwa busara zako tueleze habari za gamboshi kama unaifahamu.
 
Kuna gamboshi mbili ya nuru na ya giza zote zipo na zina exist

Jr[emoji769]
 
Duuh, si mchezo.

Huwa unatafri ndoto? Kwa mfano nimeota ndoto nikikusimulia unaweza kunitafsiria?
 
Tutaendelea baadae naingia meditation

Jr[emoji769]
Hapa ndo pana swali langu Mshana Jr wewe umesema ni mkristo. Kwa uelewa wangu meditation huwa mara nyingi inafundishwa sana na Buddha (Buddhism), sasa kwa upande wako wewe meditation ni moja ya sala (maombi) au ni upande wa pili (uchawi), pia kama ni sala au maombi ningependa kujua dhehebu gani la kikristo linafundisha meditation?
 
Mkuu Mshana Jr hapo last year kuna habari zilivuma sana kwamba unamtembezea moto dem flani hivi maarufu humu JF... Je ni kweli?

Na kama Ndiyo, Mmefikia wapi so far maana alianzisha uzi kuwa mmetemana?

Kama Mmetemana shida ilikua nini?

Wakati ukidate nae mkeo alikua wapi na ulikua umemuweka kundi gani?

Kupitia mwanamke huyo na huenda wengine wengi uliopita nao humu JF unawazungumziaje wanawake wa humu?

cc: GuDume
 
Meditation nifanyayo mimi haiko attached na imani yoyote.. Ni kwa ajili ya afya tu... Na maranyingi baada ya meditation hufanya sala na maombi kwa imani yangu ya Kikristo

Jr[emoji769]
 
Mkuu Mshana Jr hapo last year kuna habari zilivuma sana kwamba unamtembezea moto dem flani hivi maarufu humu JF... Je ni kweli?

Na kama Ndiyo, Mmefikia wapi so far maana alianzisha uzi kuwa mmetemana?

Kama Mmetemana shida ilikua nini?

Wakati ukidate nae mkeo alikua wapi na ulikua umemuweka kundi gani?

Kupitia mwanamke huyo na huenda wengine wengi uliopita nao humu JF unawazungumziaje wanawake wa humu?

cc: GuDume
JF; The only place you can meet real beautiful women - JamiiForums

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom