Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee .sasa demiss alikua kimada kumbe?Jina sahihi kabisa
Umri above 30 marital status married with 2 kids
Mwajiriwa na mjasiarimali
Naishi Pwani
Jr[emoji769]
Ile iliyokuwa ni chitchat tuu loh.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka sasa bado hujatafuna wanawake humu? na kwanini uliamua kuisaliti ndoa yako?
.
.
Yale ya kumtembezea moto yule dem wa humu yanaukweli kiasi gani?View attachment 1002388
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimada kivipi?
Mliona tangazo lolote la ndoa?
Lango la hizi interviews lingejikita kwenye kuelimishana zaidi kuliko kupeleleza personal life za watu ingekiwa vyema.
Hapana best yangu tuu..
Usichukulie kila kitu serious..nimejibu kiutani sababu kajibu kaoa na ana wattoto wawili
Kama umeumia pole..
Sent using Jamii Forums mobile app
Una Elimu ya uchawi na ulozi ila SIO mchawi wala mlozi.it means wewe hulogi Wala huwangi Wala huchawii ila Unaujua ulozi na uchawi unavyofanya kazi..wewe mlokole? Unakemea na kutoa mapepo??? Au Ulokole ndo uchawi Wenyewe??Uchawi ni kama cancer umeenea sana... Naamini uchawi upo lakini siamini katika wachawi na waganga wa kienyeji... Wengi wao ni matapeli na waganga njaa
Mimi sio mchawi ni mlokole mcha Mungu mwenye elimu ya uchawi ushirikina na ulozi
Jr[emoji769]
ngoja NISOME nimalizie nitauliza baadayeSijawahi kuroga ila nimewahi kuwafanya vibaya walionikosea pakubwa...
Elimu yangu ya uchawi ni kipawa binafsi
Jr[emoji769]
Fanya tu meditation kwa Tanzania hapa hatuna vyuo rasmi vya hiyo elimuMshana Jr ni vp naweza pata elimu ya kichawi lakini si kwaajili ya kudhuru mtu, meditation ni salama na huwezi kufa kifo cha usingizini ukishindwa kurudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza mniwie radhi nitachanganya lugha kiingereza na kiswahiliKuna uzi wowote umeuelezea kuhusu meditation? Natamani kufanya hili jambo.
Kwani wewe unafanya nini?