germanium
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 776
- 1,116
1.una kiwango gani cha elimu dunia,umesomea nini na vyuo gani?Kila chenye damu kina roho, na damu hubeba sehemu ya roho husika... Kila kipande cha nyama unachokula ni sehemu ya uhai uliotoweshwa.... Imagine unakula maroho mangapi kila ulapo nyama
Jr[emoji769]
2.Nchi ngapi umetembelea katika harakati zako hadi sasa itapendeza zaidi ukizitaja