JF HARDtalk na "Mshana JR"

JF HARDtalk na "Mshana JR"

Kila chenye damu kina roho, na damu hubeba sehemu ya roho husika... Kila kipande cha nyama unachokula ni sehemu ya uhai uliotoweshwa.... Imagine unakula maroho mangapi kila ulapo nyama

Jr[emoji769]
1.una kiwango gani cha elimu dunia,umesomea nini na vyuo gani?
2.Nchi ngapi umetembelea katika harakati zako hadi sasa itapendeza zaidi ukizitaja
 
Umesema ni mlokole.
Je ww ni aina gani ya mlokole maana walokole feki/wanaoigiza ulokole wapo,na
Walokole wanaomaanisha wapo.
Ndio wale wasio kunywa pombe,kuvuta sigara,uhuni n.k

Sasa nimeona umetupia kinywaji unachopenda kutumia(kvant+lemon)
Kwa maana hiyo ww ni mlokole mwigizaji?
 
Mpe maskini pombe anywe alewe asahau shida zake...

Jr[emoji769]
 
Kila chenye damu kina roho, na damu hubeba sehemu ya roho husika... Kila kipande cha nyama unachokula ni sehemu ya uhai uliotoweshwa.... Imagine unakula maroho mangapi kila ulapo nyama

Jr[emoji769]
Maroho kuanzia leo naaacha Kutafuna Nyama
 
Asikutishe mnyama akishachinjwa damu ikamwagika ardhini anafaa kwa kitoweo ila damu lazima imwagike na usile damu kama damu

Kumbukumbu la Torati 12:23 SUV

Ila ujihadhari kwamba usile damu, kwani ile damu ndiyo uhai; na uhai usile pamoja na nyama.
Maroho kuanzia leo naaacha Kutafuna Nyama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejifunzia ndani ya nchi au nje ya nchi? Elimu hii inahusisha pia safari za makaburini?

Waliokufunza unaweza kuhitimisha kwamba ni wachawi?
Ndani na nje.... Kwa sehemu kubwa nimejifunza toka kwa wazee wa busara

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom