JF HARDtalk na "Mshana JR"

Kuna kitu umekisema epuka kula vitu vyenye damu yaani nyama sasa naomba kufahamu uhusiano wakula nyama na kuwa na innerpeace maana wengine tunapiga mishkaki ni balaaa
 
Asante mkuu nitaanza kuifanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu umekisema epuka kula vitu vyenye damu yaani nyama sasa naomba kufahamu uhusiano wakula nyama na kuwa na innerpeace maana wengine tunapiga mishkaki ni balaaa
Kila chenye damu kina roho, na damu hubeba sehemu ya roho husika... Kila kipande cha nyama unachokula ni sehemu ya uhai uliotoweshwa.... Imagine unakula maroho mangapi kila ulapo nyama

Jr[emoji769]
 
Kila chenye damu kina roho, na damu hubeba sehemu ya roho husika... Kila kipande cha nyama unachokula ni sehemu ya uhai uliotoweshwa.... Imagine unakula maroho mangapi kila ulapo nyama

Jr[emoji769]

Bhasi nitakuwa naombea ndio nakula hapo je imekaaje mkuuu maana kutokula nyama kabisa duuh msala
 
Nipe kiufupi hii kidini na kiimani ni sahihi au sio sahihi?
Inategemea na muktadha.... Neno linasema hivi...
A: mpe maskini pombe anywe alewe asahau shida zake....
B: Ole wake ampaye mwenzake kilevi....
Hekima na tafakuri hutupa uamuzi sahihi na wa busara ama kinyume chake

Jr[emoji769]
 
Shukrani mkuu. Nasubiria elimu zaidi. Ingependeza kama ungeanzisha uzi wake na unitag.
 
Uchawi ni kama cancer umeenea sana... Naamini uchawi upo lakini siamini katika wachawi na waganga wa kienyeji... Wengi wao ni matapeli na waganga njaa
Mimi sio mchawi ni mlokole mcha Mungu mwenye elimu ya uchawi ushirikina na ulozi

Jr[emoji769]
Una muda gani katika kujifunza ulonzi na ulianzaje? Kilichokuvutia mambo hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…