1.una kiwango gani cha elimu dunia,umesomea nini na vyuo gani?Kila chenye damu kina roho, na damu hubeba sehemu ya roho husika... Kila kipande cha nyama unachokula ni sehemu ya uhai uliotoweshwa.... Imagine unakula maroho mangapi kila ulapo nyama
Jr[emoji769]
Nikifanyacho huezi kukijua wewe bado mdogoKwani wewe unafanya nini?
Iko hivyo pia kwangu
Huezi = Huwezi
Basi na tuimbe wimbo wa sifa pamojaIko hivyo pia kwangu
Huwezi kujua nafanya nini
Miaka 15 hivi... Interest tuuUna muda gani katika kujifunza ulonzi na ulianzaje? Kilichokuvutia mambo hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe maskini pombe anywe alewe asahau shida zake...Umesema ni mlokole.
Je ww ni aina gani ya mlokole maana walokole feki/wanaoigiza ulokole wapo,na
Walokole wanaomaanisha wapo.
Ndio wale wasio kunywa pombe,kuvuta sigara,uhuni n.k
Sasa nimeona umetupia kinywaji unachopenda kutumia(kvant+lemon)
Kwa maana hiyo ww ni mlokole mwigizaji?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aloooo hiki kikaango nahisi karai dogo maana mkaangwaji ni mkubwa kuliko uwezo Wa kikaangio
maana watu wanaogopa kumuuliza maswali konk kisa kuogopa kurogwa
Miaka 15 hivi... Interest tuu
Jr[emoji769]
We mzee tutakushtaki... unachanganyaje K Vant na vinywaji vya kina dada??
Sasa hommie mm wa kuhitaji kibali?kanipa mwemyewe[emoji1787]Hommie kibali cha kumchombeza joanah umekipata wapi?
Maroho kuanzia leo naaacha Kutafuna NyamaKila chenye damu kina roho, na damu hubeba sehemu ya roho husika... Kila kipande cha nyama unachokula ni sehemu ya uhai uliotoweshwa.... Imagine unakula maroho mangapi kila ulapo nyama
Jr[emoji769]
Maroho kuanzia leo naaacha Kutafuna Nyama
Ndani na nje.... Kwa sehemu kubwa nimejifunza toka kwa wazee wa busaraUmejifunzia ndani ya nchi au nje ya nchi? Elimu hii inahusisha pia safari za makaburini?
Waliokufunza unaweza kuhitimisha kwamba ni wachawi?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikutakie heri ya mwaka mpya kwanzaWe mzee tutakushtaki... unachanganyaje K Vant na vinywaji vya kina dada??
Ndani na nje.... Kwa sehemu kubwa nimejifunza toka kwa wazee wa busara
Jr[emoji769]