Mimi siamini kama Urusi ni zaidi ya Marekani kijeshi au Marekani ni zaidi ya Urusi: Ninachopingana na watu siku zote ni ule usemi wa kusema Marekani anaweza kucheza na Urusi au Uchina kama ambavyo anacheza na Syria, Iraq au Libya.Malcom lumumba nini kinakufanya uamini kuwa Russia ni zaidi ya USA linapokuja suala la nguvu za kijeshi baina ya nchi??
Hapana! sijawahi kusoma wala kuishi Urusi.Uliwahi kuishi au kusoma urusi?
Nadhani kachelewa tu hawezi kufanya suprize kwa mtu ambae hujui atakuwepo online au laMimi maswali yangu Ni kwa zero IQ NA sio malcom
Hivi hizi hard talk za jf huwa mnawasiliana kwanza na muhusika au inakuwa surprised mbona Malcom mwenyewe hatokezi..halafu mbona Mimi sikaangwi.
Ndani ya mwaka naweza kusoma vitabu visivyopungua kumi ambavyo viko nje ya taaluma yangu.Mkuu Malcom unaonekana ni mpenzi sana wa kusoma vitabu
Je kwa mwaka mzima kwa makadirio huwa unasoma vitabu vingapi?
Na ni aina gani ya vitabu unavyosoma?
Taaluma yako nini Mkuu?Ndani ya mwaka naweza kusoma vitabu visivyopungua kumi ambavyo viko nje ya taaluma yangu.
Lakini ndani ya mwaka mzima huwa nasoma sana Machapisho yanayohusika na taaluma yangu, na hili nalifanya kila siku.
Nafanya hivi ili niweze kuandika sana, kazi yangu inanitaka kuandika na kufanya tafiti sana.
Vitabu ninavyosoma sana ni vile vya Historia, Uchumi, Siasa, Saikolojia na Sayansi ya Jumla.....
Haha umefanya vyema sanaHuyu hata swali la kumuuliza, spite aende zake. Maana sijioni kama nina swali critical la kumuuliza, na sitaki kuuliza pumba.
Heshima kwake.
Hili ni swali gumu kidogo na naomba nikujibu nusu tu: Mimi ni Mwanasheria.Heshima kwako, mkuu! Umesomea wapi na taaluma ipi? Unaongea lugha ngapi za kigeni? Na ni kitabu kipi kimekuinfluence kimawazo?
Mimi ni Mwanasheria japo sasa nimesoma tofauti kidogo katika huo usomaji wangu wa sheria.Taaluma yako nini Mkuu?
Au ntaipata hapo katika aina ya vitabu unavyosoma!