Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Kama kawaida ya kikaango kutoka JF hapa tunamkaanga member mmoja kila siku,
Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu Malcom Lumumba kama guest,uliza swali lolote unalotaka kujua kutoka kwake na taaluma yake kwa ujumla.
Nb;
Tafadhari zingatia kutumia Lugha ya kistaarabu
Sent using Jamii Forums mobile app