Yeah ndio maana ni ka-watag watu makini ambao wanaweza kuuliza maswali critical zaidi ambayo yatakuwa yame utendea haki huu uzi kutokana na hadhi ya weledi wa kufikiri ambayo anayo muhusikaMkuu naona kabisa maswali yatakuwa shallow, mpaka nianze kurudi kureview threads zake na zilivyokuwa umiza kichwa, ntajichosha tu.
Ntasoma maswali yenu na mimi hayo hayo ntakuwa nasema, na mimi nilitaka kuuliza hilo hilo, umeniwahi.
Yeah ndio maana ni ka-watag watu makini ambao wanaweza kuuliza maswali critical zaidi ambayo yatakuwa yame utendea haki huu uzi kutokana na hadhi ya weledi wa kufikiri ambayo anayo muhusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kachelewa tu hawezi kufanya suprize kwa mtu ambae hujui atakuwepo online au la
Sent using Jamii Forums mobile app
Zina changamoto kubwa sana, lakini mambo yatakuwa sawa tu: Hiki ni kipindi cha mpito ambacho kila nchi hupitia!Unazungumziaje siasa za Tanzania nchi za nje na haya yanayoendelea kwa sasa,
Zitakuwa sawa zenyewe tu bila kuchukua hatua za kubadilisha?Zina changamoto kubwa sana, lakini mambo yatakuwa sawa tu: Hiki ni kipindi cha mpito ambacho kila nchi hupitia!
Siasa ni watu, na watu wenyewe ndiyo wataibadilisha siasa pale wanapoona inaathiri mustakbali wa maisha yao.
Lakini nahisi ajachelewa sana mambo ndo kwanza yameanza ingekuwa vyema mkuu Zero IQ angewa tag wakuje uku tujifunze kupitia maswali yao na majibu ya mkuu wetu wa leo mana huyu bwana ana reference za kutosha.Mtoa mada unapokuwa unaandaa interview Kama hii kwa mtu critical thinker kama Huyu " basi uwe unajitahidi Kuwaalika watu ambao wana fanana walau na kariba yake ya kufikiri kwaajili ya Kumuuliza maswali yenye Tija ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana japo hatuwezi kuweka kila kitu ndani Katiba ya nchi: Maana hata hiyo dira ya nchi mkishaifikia basi itawabidi mfanye mabadiliko ya katiba na kuweka dira nyingine mpya. Kiufupi tu ukitaka wanasiasa wasicheze na nchi kuna kitu wanakiita The Eternal Clauses na Entrenched Clauses ambavyo huwazuia wanasiasa au bunge katika kufanya mabadiliko fulani bila kura ya maoni.Mkuu Malcom Lumumba Kama itakupendeza naomba unijibu na hili, kwenye katiba ya nchi fulani hakuna uwezekano wa kuwekwa kitu kama dira ya taifa ya nchi hiyo na kutungiwa kasheria ili kila raisi anayeingia madarakani aanzie alipoishia mwenzie na sio kuendeshwa na utashi wa mtu mwenyewe mfano Tz. kwa kipindi kifupi kimepita na kilimo kwanza, brn, nchi ya viwanda na sasa bize na ununuzi wa ndege. (mi sio mwana siasa na sifungamani na upande wowote na wala sina kadi ya chama chochote)
Sawa mkuuMtoa mada unapokuwa unaandaa interview Kama hii kwa mtu critical thinker kama Huyu " basi uwe unajitahidi Kuwaalika watu ambao wana fanana walau na kariba yake ya kufikiri kwaajili ya Kumuuliza maswali yenye Tija ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali gumu sana hili: Lakini ntajitahidi kujibu kwa kadiri ya uwezo wangu.Ukitazama hali ya dunia ya sasa hivi, ni kitu gani kinachokuletea matumaini kwamba mambo yatukuwa mazuri na ni kitu gani kinakujaza hofu kwamba tunakoelekea sio pazuri???! Asante!