JF ilivyoua huba langu

Hapo sawa, waambie ile pilipili ya kunikia iwepo pia.

Wazee tumeshauriwa kutumia na Wine kidogo, kama grocery ipo mbali tuagize mapema ๐Ÿคช
Utakunywa Pearl bay usijali babu mzuri mzuri ๐Ÿ˜
 
Sasa upo single au?
 
Hahaha..........kwamba mkishindwana na chochote ndani lazima aje akuanzishie Uzi JF ๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ

Hatari
Eeh Mkuu... ni mwendo wa nyuzi.. na comment ambazo ukisoma unahisi ni mimi kabisaa hapa nalengwaa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mwamba alileta uoga tu....
Ila legend unajitahidi sana kuflirt ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Imebidi nifunge na kuliombea hili jambo, maana inakuwa too much sasa. Ndio maana tunahusishwa na upumbavu na ujinga kisa kupenda utani wa kimahaba.
 
Hahahahaha,sawa sawa, na ukikumbuka wanavyo temaga nyongo humu
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒHapo ndo kabisaa unakatwa maini

Kwa mila zetu hizi mwanamke akijua kila kitu na penyewe ni shida tulishakalilishwa mwanaume ni kichwa mwanamke anafata

Sasa kama yupo humu... na unapingana na mambo ya usawaa utaona ndoa chungu
 
Utakunywa Pearl bay usijali babu mzuri mzuri ๐Ÿ˜
Sioni dalili ya kurudi nyumbani, kama package ya leo itakuwa hivi Mjukuu ๐Ÿคช

Ngoja nimtumie Bibi yenu hela ya Matumizi mapema then nimwambie kuwa naelekea Kliniki yangu ya Presha ๐Ÿค—
 
Sioni dalili ya kurudi nyumbani, kama package ya leo itakuwa hivi Mjukuu ๐Ÿคช

Ngoja nimtumie Bibi yenu hela ya Matumizi mapema then nimwambie kuwa naelekea Kliniki yangu ya Presha ๐Ÿค—
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃSasa utalala wapi babu Hadi unaga kabisa?
 
Unapigwa za uso mpaka akili inakaa sawa๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒMkigombana usiku unamkuta kwenye ule uzi wa Jf usiku wa manane anachati zake wakuu wanamchekesha yeye bila hiyana anajiachia tuu full kucheka๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Hiyo ndoa ikimaliza mwaka basi mliumbwa kukaa pamoj๐Ÿ˜ƒ
 
Yaani Hana habari ana furaha zake๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Eeh Mkuu... ni mwendo wa nyuzi.. na comment ambazo ukisoma unahisi ni mimi kabisaa hapa nalengwaa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Na ukiwa na maradhi ya Uzee kama Babu zao hapa huchelewi kuwahishwa Muhimbili kwaajili ya Presha ๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ