JF ilivyoua huba langu

JF ilivyoua huba langu

Hapo sawa, waambie ile pilipili ya kunikia iwepo pia.

Wazee tumeshauriwa kutumia na Wine kidogo, kama grocery ipo mbali tuagize mapema 🤪
Utakunywa Pearl bay usijali babu mzuri mzuri 😁
 
Samaleko,

Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History.

Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea,Kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda sana kumsikiliza Country music,basi nikawa nimewasha laptop zile miziki zinaimba,halafu tab nyingine nilifungua JF,Sasa yule bwana alivyofika Mimi napikapika akasema bwana mi natoa Hawa wababu wako,

Nia abadilishe aweke miziki anayopenda yeye,Mimi Niko zangu napikapika,basi Ile anaendelea kushikashika laptop nikasikia naulizwa.

Baby una account Jamii forum?
Mi kiroho safi nikamjibu eeh mbona siku nyingi😁😁
Eeeeeh bwana nilisimangwaaa,nilisomewa risala,niliambiwa sifai kabisa,Mimi sio wife material,maana mke wa mtu hawezi kuwa member wa JF.

Basi kila mkitofautiana utakisia wewe umeshaharibika sababu ya JF🙄,ikawa JF,JF,JF sipumui,mpaka safari ikaishia njiani...

Sasa nikawa nashangaa Ina maana wadada tulio JF tuna tabia mbaya kiasi hiki🤣??eti kina kaka mkigundua wapenzi zenu ni member wa JF mtakasirika?

NB:nilihisi lazima na yeye ni member humu ila sijui ID yake,nikabadili zangu ID chaaaa..

Happy Maulid to all
Sasa upo single au?
 
🤣🤣🤣🤣 Mwamba alileta uoga tu....
Ila legend unajitahidi sana kuflirt 🤣🤣
Imebidi nifunge na kuliombea hili jambo, maana inakuwa too much sasa. Ndio maana tunahusishwa na upumbavu na ujinga kisa kupenda utani wa kimahaba.
 
Hahahahaha,sawa sawa, na ukikumbuka wanavyo temaga nyongo humu
😃😃😃Hapo ndo kabisaa unakatwa maini

Kwa mila zetu hizi mwanamke akijua kila kitu na penyewe ni shida tulishakalilishwa mwanaume ni kichwa mwanamke anafata

Sasa kama yupo humu... na unapingana na mambo ya usawaa utaona ndoa chungu
 
Utakunywa Pearl bay usijali babu mzuri mzuri 😁
Sioni dalili ya kurudi nyumbani, kama package ya leo itakuwa hivi Mjukuu 🤪

Ngoja nimtumie Bibi yenu hela ya Matumizi mapema then nimwambie kuwa naelekea Kliniki yangu ya Presha 🤗
 
Sioni dalili ya kurudi nyumbani, kama package ya leo itakuwa hivi Mjukuu 🤪

Ngoja nimtumie Bibi yenu hela ya Matumizi mapema then nimwambie kuwa naelekea Kliniki yangu ya Presha 🤗
🤣🤣🤣🤣Sasa utalala wapi babu Hadi unaga kabisa?
 
😃😃😃😃Mkigombana usiku unamkuta kwenye ule uzi wa Jf usiku wa manane anachati zake wakuu wanamchekesha yeye bila hiyana anajiachia tuu full kucheka😃😃😃

Hiyo ndoa ikimaliza mwaka basi mliumbwa kukaa pamoj😃
Yaani Hana habari ana furaha zake🤣😅😅😅
 
Eeh Mkuu... ni mwendo wa nyuzi.. na comment ambazo ukisoma unahisi ni mimi kabisaa hapa nalengwaa😃😃😃
Na ukiwa na maradhi ya Uzee kama Babu zao hapa huchelewi kuwahishwa Muhimbili kwaajili ya Presha 😅🙌
 
Back
Top Bottom