JF ilivyoua huba langu

Ni tatizo haswa mwanamke kuwa mjuaji
 
asa nikawa nashangaa Ina maana wadada tulio JF tuna tabia mbaya kiasi hiki🀣??eti kina kaka mkigundua wapenzi zenu ni member wa JF mtakasirika?
Itakua alitumia ID nyingine kukutongoza ukakataa
 
Yaani Hana habari ana furaha zakeπŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒwewe unabaki unaumia roho...

Kuongea unashindwa bora mwamba wako yeye alijikaza akasemaaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hahahahahahahaha
 
Na ukiwa na maradhi ya Uzee kama Babu zao hapa huchelewi kuwahishwa Muhimbili kwaajili ya Presha πŸ˜…πŸ™Œ
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒMapemaa sanaa wanakuwekea moyo wa kuchaji uone nafuu kidogo
 
Wanaojichanganya 🀣🀣🀣🀣na ndio sie sie wa Kwa Kuhani Mussa na Kwa Mwamposa
Utatukuta madhabahuni,jumuiyani na tupo kaunta pale viti virefu....na hamna kitu utafanya
 
🀣🀣🀣🀣Sasa utalala wapi babu Hadi unaga kabisa?
Kama una Sebule nitalala hapo hapo, si Kwa Mjukuu wanguπŸ€—

Iwapo mna ratiba na Mwanangu kutafuta Wajukuu utawasha Sabufa πŸ€ͺπŸƒπŸƒ
 
Na anaitwa chemba kama kawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama una Sebule nitalala hapo hapo, si Kwa Mjukuu wanguπŸ€—

Iwapo mna ratiba na Mwanangu kutafuta Wajukuu utawasha Sabufa πŸ€ͺπŸƒπŸƒ
Mmh babu we utarudi tu nyumbani ukimaliza kunywa supu na wine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…