JF ilivyoua huba langu

Hata sijaapika Niko zangu kitandani nachat tu hapa baadae nitenda kushushia Maulid na mdudu
 
Ndiyo, ila ni zamani kidogo

Mnajua kuna wakati mnabebishana humu hadi watu roho zinakuwa juu juu

Maana kuna Msanii aliwahi kuimba eti "Hainaga Ushemeji Tunakulaga"

Ni bahati tu tumezeeka tu ila Wivu bado ninao 🤪
🤣🤣🤣🤣 Aisee una hasira mbaya
 
Kwa hii mibebisho ya humu, ngumu sana kuvumilia aisee!!

Ndio maana nimeacha kubebika🤣🤣🤣🤣
Utasikia watu wanaitana chamber kabisa🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo umeihirisha?
 
Utasikia watu wanaitana chamber kabisa🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo umeihirisha?
Inabidi iwe hivyo, flirting zimekuwa sehemu ya maisha yangu nikajaribu kuacha hapa kati ila naona nimerudi kule kule.🤣🤣🤣

Halafu unaeleweka vibaya, yaani huyo mwamba namuelewa sana, huwezi kujitetea tu kuwa tunastorisha kawaida.
 
🤣🤣🤣🤣 Aisee una hasira mbaya
Kilichonipa imani ni kuwa Bibi yenu naye umri umemtuma Mkono.

Hakuna Kijana anaweza mvizia Mshangazi mwenye miaka 65 kwahiyo hata akiwa anabebishana nao hapa naona hakuna dalili ya kuibiwa 🤪
 
Inabidi iwe hivyo, flirting zimekuwa sehemu ya maisha yangu nikajaribu kuacha hapa kati ila naona nimerudi kule kule.🤣🤣🤣

Halafu unaeleweka vibaya, yaani huyo mwamba namuelewa sana, huwezi kujitetea tu kuwa tunastorisha kawaida.
🤣🤣🤣🤣 Mwamba alileta uoga tu....
Ila legend unajitahidi sana kuflirt 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…