Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
- Thread starter
- #161
Hata sijaapika Niko zangu kitandani nachat tu hapa baadae nitenda kushushia Maulid na mduduHii haiendi bila mwaliko, fanya mpango wa location nifanye kuja kuonja mapishi ya Mjukuu 🤗
========
Binafsi sioni shida kuwa na Mahusiano na mtumiaji wa JF, shida yangu ni ile mibebisho mnayofanyiana humu.
Yaani kama una roho nyepesi unaweza kukuta unampiga mtu Risasi bila kukusudia 🙌