JF ilivyoua huba langu

JF ilivyoua huba langu

Babu maini yamechoka sasa
Unachokosea wewe Binti yangu,,unanikadiria mnoo,, naomba upunguze kama si kuliondoa kabisa Hilo jambo la kukadiria MTU katika Fikra zako!!Usisite kunipa Huba Bibie Joanhh!!
 
Kwa Nini Sasa ulikuwa na gubu?
Nlikuwa nakuangalia ulivonona kipindi kile ulivo mzuri nakareflect na member wa jf walivo na nguvu za kiume nyingi wanasema wanapiga bao 9 kwa kuunganisha zote na kila goli dkk 125, nikawaza walivo na pesa nyingi magari ya bei ghali, walivo na connection ya huko United Nation walivo na elimu za kutisha🤔🤔nikajiangalia na mm nilivo aisee nikaona Sina langu
 
🤣🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo we ulitishika na uongo wao?we magari ya nyuma ya keyboard ndio uliyaogopa?
 
Unachokosea wewe Binti yangu,,unanikadiria mnoo,, naomba upunguze kama si kuliondoa kabisa Hilo jambo la kukadiria MTU katika Fikra zako!!Usisite kunipa Huba Bibie Joanhh!!
Sawa babu😥😥😥
 
🤣🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo we ulitishika na uongo wao?we magari ya nyuma ya keyboard ndio uliyaogopa?
Nikawaza kama umeshajua wenzangu walivopiga hatua na wakati ule unajua kbs mimi Sina hata kiwanja kigamboni, mpiji magohe au chamazi unafkir ningeishije Kwa amani?
 
Lakini si ulishakuwa umenunua bunju?
 
Back
Top Bottom