Jf inatisha: Kuna member wawili maarufu walikuwa hotelini week nzima wakijunjana chiii!

Tatizo hesabu nilitoka na mswaki[emoji23][emoji23] raha siijui
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Umekosa raha miongoni mwa raha za Duniani, sio ile ya kubaki kileleni tu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Naona umelipwa mshahara kabla ya pasaka,komaa kama una familia,huu mshahara unafika mwisho wa mwezi mwingine?(joke)
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Niko single ila hela haikai mkuu
 
Ngj nioge nitafute chai njoo tsap uone raha za duniaaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Umekosa raha miongoni mwa raha za Duniani, sio ile ya kubaki keleleni tu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nimekomaaa na madikishenari ata sielew makodi ayo walioelewa fanyen namna[emoji848][emoji848][emoji848]au ndo ya miriam mabiriani uko twita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…