Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Na huyo Ex wa Mganga ni nani?Code nyepes sana hii!
Kidume hapo ni yule Simba wa Bynz!
Ibadili kwa kisukuma!
Mganga maarufu ni yule mwenye jina linaloanzia na M na kuishia na R!!
Huto tumiguu twa kwako hapo? Upande huo wa huko kamevaa?Kuna sehemu unakwama kabisa jaribu kusoma tena code alafu inakuwaje unamsingizia mtoa code[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupika gani kila siku samaki,nyama ya ng'ombe?. Natafuta kuona mapishi ya chura,mamba mamba hawa kenge hivi. Huo ndio upishi. Aaaah...! Nimekumbuka kumbe ni wachina tu ndio wanasenga kila kinacho-moveUtanishinda kupika?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1075437
Na huyo Ex wa Mganga ni nani?
lol, kwa hiyo kajifungulia uzi kujisema kua amenjunjwa na mwana jf kwenye 5star hotel kwa wiki nzima, lmao[emoji23][emoji23]
'The world is a crazy place walai'
Totaly agreed.Only a fool can do this ..fools
[emoji23][emoji23] imekula kwetu mkuu.Inaonesha tumevamia chaka la nungunungu mkuu...
Wenye uelewa mdogo hapa hapatuhusu.
Ndio ndio hahahahaahhahahHahahahah unataka kusema bi mwafundenge huwez kumfungua kwenye code[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀😀😀Huyu ni yeye we code gani ngumu hivi kuliko jiweNilainishie bas mdogo wangu umbea tiba[emoji1][emoji1][emoji1]
Sio huyu wa kyupi na ushetani kweli, mh.Na huyo Ex wa Mganga ni nani?
lol, kwa hiyo kajifungulia uzi kujisema kua amenjunjwa na mwana jf kwenye 5star hotel kwa wiki nzima, lmao[emoji23][emoji23]
'The world is a crazy place walai'
Dah...wakubwa mnafaidi sana [emoji41]Utanishinda kupika?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1075437
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Dah...wakubwa mnafaidi sana [emoji41]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kupika gani kila siku samaki,nyama ya ng'ombe?. Natafuta kuona mapishi ya chura,mamba mamba hawa kenge hivi. Huo ndio upishi. Aaaah...! Nimekumbuka kumbe ni wachina tu ndio wanasenga kila kinacho-move
Sawa myNgoja nile kwanza nishibe nahisi ndo ntaelewa
Mwanamke kusutwa suna jaman
una umbo kama la mariam birian lakini!!?
Nakuja nitashukuru sana
Yaan sijaambulia kitu sijui huko mbeleni huenda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu ni yeye we code gani ngumu hivi kuliko jiwe